Wadau wapinga Rais Samia na Makamu wake kuingia na Viti binafsi Kanisani, yadaiwa ni kujikweza

Sasa hoja yako ni ipi? Mbona unashambulia badala ya kutoa facts?
 
Mwashambwa karibu sana
 
Hao ni marais wa nchi kuna suala zima la ulinzi. Vipi kama viti vya hapo hapo kanisani vikawekewa mabomu na yakawamaliza?. Huoni kama huo ni uzembe wa ulinzi.

Hii amani inatudanganya sana, tunashindwa kufikiria kwa kina.
Kwenye hii hoja, wewe ndio hujafikiria kwa kina! Kwamba waweke mabomu kwenye mabenchi au viti vya kanisani ?

Ina maana usalama wa taifa hawana vifaa vya kutambua hivyo viashiria?

Kama wana nia ya kumdhuru, watashindwa kutumia vitu vingine kama mic, podium, nk ikiwa watawaza kuweka kwenye hivyo viti??

Kwa kifupi, huo ni ukoloni usio na maana yoyote! Protocol nyingine ni za kitumwa ndio maana hata baadhi ya marais ya nchi nyingine wanazipotezea kama hazina tija yoyote!

Kubeba kiti maalum hadi kwenye nyumba za ibada, wakati viti vingine vipo, huo ni u-tu-mwa!
 
Nadhani inahusu usalama zaidi kuliko hivyo ulivyoiweka
 
Siyo chuki we una Una ugonjwa wa akili. Hao wadau ni kina nani.
 
Uzuri wa mleta hoja ni anajadili kistaarabu. Naomba kukuuliza, ni wadau gani waliopinga? Facts.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hii nchi watu wana obsession na mambo yasiyo na msingi.

Kiti gani Rais amekalia, inageuka topic.

Watu wanadhani Rais anaamka asubuhi na kusema leo nataka nikakalie kiti fulani! Never, hizo ni kazi za watu.
 
Hahaaaa ww hata historia ya dini yako huijui kubishana na ww ni ujinga....kasome tena vitabu ndo utajua ...swali dogo tu nambie msikiti walio kua wanasali waislam kabla ya mtume uko wapi.
Mingi tu, Hata pale Jerusalem kwenye msikiti wa Nabiii suleiman waliswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…