Wadau wapinga Rais Samia na Makamu wake kuingia na Viti binafsi Kanisani, yadaiwa ni kujikweza

Wadau wapinga Rais Samia na Makamu wake kuingia na Viti binafsi Kanisani, yadaiwa ni kujikweza

Ww tangu lini suleiman alikua muislam ww hebu jamani tuwe tunasoma maana hunidanganyi hata kidogo history na vitabu vya dini nimevisoma sana
Suleiman alikuwa muislam...kwanza hata jina Suleiman ni la kiislam.
Ushahidi upo wa kutosha kwenye Quran
 
Kwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere , iliyofanyika huko Mkoani Kagera , Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake , Dr Philipo Mpango , Tunawapongeza kwa jambo hilo .

Sitaki kurudia yaliyotokea ili nisiwachoshe , lakini Kitendo cha Rais na Makamu wake kuingia na Viti vyao vya enzi ndani ya kanisa kimepingwa na wadau wengi , huku wakitahadharisha viongozi kuacha kujiona ni wa kipekee , Ukweli ni kwamba HAWANA UPEKEE WOWOTE , ukiachilia mbali vyeo walivyo navyo hawana tofauti yoyote nyingine na sisi wengine .

Kitendo cha kuingia na Masofa yao Kanisani ni DHARAU KWA WAUMINI na Kanisa kwa ujumla , na kinapaswa kukemewa ili kisirudiwe tena , kama hawataki kukaa kwenye mabenchi ya kanisa , basi wasiingie kwenye Makanisa , waishie nje na hotuba zao .

Ziko Picha kadhaa zikiwaonyesha Joe Biden wa Marekani na Haikainde Hichilema wa Zambia wakiwa wameheshimu madhabau na kukalia Mabenchi ya kanisa , mbona walishiriki ibada na wakamaliza kwa amani tu , Hawa viongozi wetu wana upekee gani hawa ?

View attachment 2387287

Angalizo : Sina chuki yoyote na viongozi hawa .
Hicho kiti kinazunguka nchi nzima!!!
 
Mapadri wachungaji na maaskofu huwa na viti tofauti na waumini .Mleta mada hilo unasemaje.Kwa hiyo wao hujikweza .Kwa nini wasikalie kwenye mabenchi kama ya ya waumini au kukalia viti sawa na vya waumini wao?

Mawazo yako mleta mada hopeless kabisa
 
Kwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere , iliyofanyika huko Mkoani Kagera , Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake , Dr Philipo Mpango , Tunawapongeza kwa jambo hilo .

Sitaki kurudia yaliyotokea ili nisiwachoshe , lakini Kitendo cha Rais na Makamu wake kuingia na Viti vyao vya enzi ndani ya kanisa kimepingwa na wadau wengi , huku wakitahadharisha viongozi kuacha kujiona ni wa kipekee , Ukweli ni kwamba HAWANA UPEKEE WOWOTE , ukiachilia mbali vyeo walivyo navyo hawana tofauti yoyote nyingine na sisi wengine .

Kitendo cha kuingia na Masofa yao Kanisani ni DHARAU KWA WAUMINI na Kanisa kwa ujumla , na kinapaswa kukemewa ili kisirudiwe tena , kama hawataki kukaa kwenye mabenchi ya kanisa , basi wasiingie kwenye Makanisa , waishie nje na hotuba zao .

Ziko Picha kadhaa zikiwaonyesha Joe Biden wa Marekani na Haikainde Hichilema wa Zambia wakiwa wameheshimu madhabau na kukalia Mabenchi ya kanisa , mbona walishiriki ibada na wakamaliza kwa amani tu , Hawa viongozi wetu wana upekee gani hawa ?

View attachment 2387287

Angalizo : Sina chuki yoyote na viongozi hawa .
Kwakweli hadi naona aibu wakati sio mimi, Nakumbuka Marehem Malkia Elizabeth akizikwa tulionyeshwa benchi lake pendwa analokaa kansani hakupeleka kiti cha ufalme kanisani
 
Chadema mnatapatapa
Yaani katika watu wajinga ni Chadema ajabu walioanzisha hiyo mada walutheri

Maaskofu wao na wachungaji wao huwa na viti maalumu tofauti na waumini!!! Hilo hawaoni wanaona Mama Samia tu

Waanze kudai hizo haki makanisani mwao kuwa wachungaji na maaskofu wao wawe wanakalia mabenchi kama wao.Wajinga sana yaani kichwani kweupe kabisa

Na wanafiki sana
 
Nafkiri viliwekwa kabla na hawawezi kufika kuamuru vitolewe
 
Tukumbuke kuwa SSH ni muislam, kuingia kwake kanisani ni kwa heshima tu na kwa kuzingatia maadili ya waliomtangulia.

Hapaswi kupangiwa akae kiti kipi. Kuna marais wa afrika hii hii hawaingii ndani ya nyumba za ibada zisizokuwa za dini zao.

Well, hajalazimishwa aingie kanisani, lakini ukiamua kwenda kwenya nyumba ya kuabudu ya wenzio inapendeza kufuata taratibu zao

Mtangulizi wake alivua viatu mlangoni kwa sababu wenzake Waislam huvua viatu

m1.jpg

Na hakuona aibu Rais kukaa sakafuni mbele ya Mwenyezi Mungu Subhana wa Taala

RAIS%2BMAGUFULI%2BAKAGUA%2BMSIKITI%2BWA%2BKIMATAIFA.jpg

Samia Suluhu anavunja misingi ya kuheshimiana kidini iliyojengwa na watangulizi wake. Rais anapaswa kuwa chachu ya kuwa inspire watu kuwa wamoja japo wanatofautiana kidini. Kuleta kiti cha Ikulu kanisani imesikitisha Watanzania wengi.

Samia Suluhu amekuwa Rais wa kwanza kufanya jambo lililosababisha watu kuchambana dini zao mitandaoni na mitaani.
 
Wewe hupaswi kuwalaumu hao viongozi moja kwa moja.

Erythrocyte!
Umeandika as if walikuja wamebeba viti vyao,wakati ukweli ni kwamba kama ni kasoro imetokea.na kama ni kulaumiwa ni hao waliokuwa na jukumu la maandalizi na sidhani kama ni maagizo ya Mheshimiwa Rais wala Makamu wake.
Wao wameingia na kuelekezwa mahali walipoandaliwa kukaa.

Baadhi ya vitu sio lazima uvipinge kwa sababu havina tija kwa maendeleo chanya wala havitowi fundisho lolote kwa jamii.
Pia kuwa pingapinga sio alama ya elimu bali ni dalili za ubishi usio na tija pia.

Rais akipanda basi mnasema kadharauliwa,je kipi afanye ili awafurahishe?

Mtaendeleza bifu la kukaa benchi mpaka 2025?

Si mtafika mmechoka Sana?

Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
Kwani ukiheshimu tu malalamiko yake utapungukiwa nini?! Sio kila jambo ni la kujibu kwa kukanusha au kutetea. Mtu amekwazwa na jambo na si kawaida wewe unakuja kumrekebisha so wewe hicho kitendo ni kizuri na kimekufurahisha kama sivyo kwann basi usiheshimu maoni yake na kukubaliana nae.
 
Uislsmu,unaruhuhusu kuingia kanisani,na hata ukitaka kufanya ibada,ila uwaombe wenye kanisani,wafuasi wa Mtume wamefanya ibada kanisani,hata makanisa,yametwaja ndani ya Quran,na Allah,akasema humo makanisani wapo wacha Mungu.Na ndoa ya kanisani katika uislamu inakubalika,hata wanandoa wakisilimu,hawafungi ndoa tena.
Hebu sku nyngine ukiwa unataja big statements kama hizi uwe unaambatanisha na evidence kabisa.
 
Unataka kutuambia Rais wetu akiwa Tanzania usalama wake unakuwa mashakani sana kulipo akiwa nje ya nchi? sababu akiwa huko nje hatuoni hizi mbwembwe za hawa wanausalama hata hiti viti special hakuna
Rais akiwa ndani ya nchi usalama wake unakuwa htatarini kuliko akiwa njee ya nchi. Huo ndo ukweli
 
Uislsmu,unaruhuhusu kuingia kanisani,na hata ukitaka kufanya ibada,ila uwaombe wenye kanisani,wafuasi wa Mtume wamefanya ibada kanisani,hata makanisa,yametwaja ndani ya Quran,na Allah,akasema humo makanisani wapo wacha Mungu.Na ndoa ya kanisani katika uislamu inakubalika,hata wanandoa wakisilimu,hawafungi ndoa tena.
Takhbiiiiiiirrrrr !!
 
Nilikua sijajua kumbe ni kanisa ambalo lina viti tayari wao wakaenda na viti vingine hapo sio sawa mbona UK walipanda bus lenye viti kama hivyo hawakufanya chochote..
 
Wewe hupaswi kuwalaumu hao viongozi moja kwa moja.

Erythrocyte!
Umeandika as if walikuja wamebeba viti vyao,wakati ukweli ni kwamba kama ni kasoro imetokea.na kama ni kulaumiwa ni hao waliokuwa na jukumu la maandalizi na sidhani kama ni maagizo ya Mheshimiwa Rais wala Makamu wake.
Wao wameingia na kuelekezwa mahali walipoandaliwa kukaa.

Baadhi ya vitu sio lazima uvipinge kwa sababu havina tija kwa maendeleo chanya wala havitowi fundisho lolote kwa jamii.
Pia kuwa pingapinga sio alama ya elimu bali ni dalili za ubishi usio na tija pia.

Rais akipanda basi mnasema kadharauliwa,je kipi afanye ili awafurahishe?

Mtaendeleza bifu la kukaa benchi mpaka 2025?

Si mtafika mmechoka Sana?

Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
ukweli hawakutakiwa kufanya vile, ile ni sehemu ya ibada, viongoz wetu wapunguze ego ni ushamba
 
Mada nyepesi sana. JPM alikalia kiti cha kwake alicholetewa na wasaidizi wake siku ile alipokwenda chuo kikuu na kuongea na wasomi hakuna aliyekuja na uzi kabisa.
Acha kuchukulia vitu kwa wepesi, kila sehemu kun misingi yake, na unapofika lazima ufuate Sheria..

katika Hilo Hilo kwnn aendapo msikitini abebi jamvi lake, watu wanaweza uliza hvo by the way.

Pale ni sehemu ya Ibada ni vema kufuata taratibu za mule Kama hawezi kwa kuona yey no Bora San Basi asiingie.
 
Back
Top Bottom