Suleiman alikuwa muislam...kwanza hata jina Suleiman ni la kiislam.Ww tangu lini suleiman alikua muislam ww hebu jamani tuwe tunasoma maana hunidanganyi hata kidogo history na vitabu vya dini nimevisoma sana
Hicho kiti kinazunguka nchi nzima!!!Kwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere , iliyofanyika huko Mkoani Kagera , Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake , Dr Philipo Mpango , Tunawapongeza kwa jambo hilo .
Sitaki kurudia yaliyotokea ili nisiwachoshe , lakini Kitendo cha Rais na Makamu wake kuingia na Viti vyao vya enzi ndani ya kanisa kimepingwa na wadau wengi , huku wakitahadharisha viongozi kuacha kujiona ni wa kipekee , Ukweli ni kwamba HAWANA UPEKEE WOWOTE , ukiachilia mbali vyeo walivyo navyo hawana tofauti yoyote nyingine na sisi wengine .
Kitendo cha kuingia na Masofa yao Kanisani ni DHARAU KWA WAUMINI na Kanisa kwa ujumla , na kinapaswa kukemewa ili kisirudiwe tena , kama hawataki kukaa kwenye mabenchi ya kanisa , basi wasiingie kwenye Makanisa , waishie nje na hotuba zao .
Ziko Picha kadhaa zikiwaonyesha Joe Biden wa Marekani na Haikainde Hichilema wa Zambia wakiwa wameheshimu madhabau na kukalia Mabenchi ya kanisa , mbona walishiriki ibada na wakamaliza kwa amani tu , Hawa viongozi wetu wana upekee gani hawa ?
View attachment 2387287
Angalizo : Sina chuki yoyote na viongozi hawa .
Kwakweli hadi naona aibu wakati sio mimi, Nakumbuka Marehem Malkia Elizabeth akizikwa tulionyeshwa benchi lake pendwa analokaa kansani hakupeleka kiti cha ufalme kanisaniKwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere , iliyofanyika huko Mkoani Kagera , Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake , Dr Philipo Mpango , Tunawapongeza kwa jambo hilo .
Sitaki kurudia yaliyotokea ili nisiwachoshe , lakini Kitendo cha Rais na Makamu wake kuingia na Viti vyao vya enzi ndani ya kanisa kimepingwa na wadau wengi , huku wakitahadharisha viongozi kuacha kujiona ni wa kipekee , Ukweli ni kwamba HAWANA UPEKEE WOWOTE , ukiachilia mbali vyeo walivyo navyo hawana tofauti yoyote nyingine na sisi wengine .
Kitendo cha kuingia na Masofa yao Kanisani ni DHARAU KWA WAUMINI na Kanisa kwa ujumla , na kinapaswa kukemewa ili kisirudiwe tena , kama hawataki kukaa kwenye mabenchi ya kanisa , basi wasiingie kwenye Makanisa , waishie nje na hotuba zao .
Ziko Picha kadhaa zikiwaonyesha Joe Biden wa Marekani na Haikainde Hichilema wa Zambia wakiwa wameheshimu madhabau na kukalia Mabenchi ya kanisa , mbona walishiriki ibada na wakamaliza kwa amani tu , Hawa viongozi wetu wana upekee gani hawa ?
View attachment 2387287
Angalizo : Sina chuki yoyote na viongozi hawa .
Yaani katika watu wajinga ni Chadema ajabu walioanzisha hiyo mada walutheriChadema mnatapatapa
Kolimba aliuawa na nani na kwa sababu gani ?Kinaweza kuwekwa sumu, kumbuka namna Kolimba alivyouliwa.
Yuko huko unakoelekea na wewe pia siku si nyingi zijazoLeo yuko wapi ?
Kwa hiyo ulitarajia VP aingie na kisha agomee kiti akiomba kubadilishiwa kisha ndio misa iendelee?Walaumiwe Watu wa advance Team Ila hata kama kwani mpango hajui utaratibu wa Kanisa katoriki?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tukumbuke kuwa SSH ni muislam, kuingia kwake kanisani ni kwa heshima tu na kwa kuzingatia maadili ya waliomtangulia.
Hapaswi kupangiwa akae kiti kipi. Kuna marais wa afrika hii hii hawaingii ndani ya nyumba za ibada zisizokuwa za dini zao.
Kwani ukiheshimu tu malalamiko yake utapungukiwa nini?! Sio kila jambo ni la kujibu kwa kukanusha au kutetea. Mtu amekwazwa na jambo na si kawaida wewe unakuja kumrekebisha so wewe hicho kitendo ni kizuri na kimekufurahisha kama sivyo kwann basi usiheshimu maoni yake na kukubaliana nae.Wewe hupaswi kuwalaumu hao viongozi moja kwa moja.
Erythrocyte!
Umeandika as if walikuja wamebeba viti vyao,wakati ukweli ni kwamba kama ni kasoro imetokea.na kama ni kulaumiwa ni hao waliokuwa na jukumu la maandalizi na sidhani kama ni maagizo ya Mheshimiwa Rais wala Makamu wake.
Wao wameingia na kuelekezwa mahali walipoandaliwa kukaa.
Baadhi ya vitu sio lazima uvipinge kwa sababu havina tija kwa maendeleo chanya wala havitowi fundisho lolote kwa jamii.
Pia kuwa pingapinga sio alama ya elimu bali ni dalili za ubishi usio na tija pia.
Rais akipanda basi mnasema kadharauliwa,je kipi afanye ili awafurahishe?
Mtaendeleza bifu la kukaa benchi mpaka 2025?
Si mtafika mmechoka Sana?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
Hebu sku nyngine ukiwa unataja big statements kama hizi uwe unaambatanisha na evidence kabisa.Uislsmu,unaruhuhusu kuingia kanisani,na hata ukitaka kufanya ibada,ila uwaombe wenye kanisani,wafuasi wa Mtume wamefanya ibada kanisani,hata makanisa,yametwaja ndani ya Quran,na Allah,akasema humo makanisani wapo wacha Mungu.Na ndoa ya kanisani katika uislamu inakubalika,hata wanandoa wakisilimu,hawafungi ndoa tena.
Rais akiwa ndani ya nchi usalama wake unakuwa htatarini kuliko akiwa njee ya nchi. Huo ndo ukweliUnataka kutuambia Rais wetu akiwa Tanzania usalama wake unakuwa mashakani sana kulipo akiwa nje ya nchi? sababu akiwa huko nje hatuoni hizi mbwembwe za hawa wanausalama hata hiti viti special hakuna
Takhbiiiiiiirrrrr !!Uislsmu,unaruhuhusu kuingia kanisani,na hata ukitaka kufanya ibada,ila uwaombe wenye kanisani,wafuasi wa Mtume wamefanya ibada kanisani,hata makanisa,yametwaja ndani ya Quran,na Allah,akasema humo makanisani wapo wacha Mungu.Na ndoa ya kanisani katika uislamu inakubalika,hata wanandoa wakisilimu,hawafungi ndoa tena.
Kuna vitu vya kijinga sana, hiko chama chenu hamna ajenda?
ukweli hawakutakiwa kufanya vile, ile ni sehemu ya ibada, viongoz wetu wapunguze ego ni ushambaWewe hupaswi kuwalaumu hao viongozi moja kwa moja.
Erythrocyte!
Umeandika as if walikuja wamebeba viti vyao,wakati ukweli ni kwamba kama ni kasoro imetokea.na kama ni kulaumiwa ni hao waliokuwa na jukumu la maandalizi na sidhani kama ni maagizo ya Mheshimiwa Rais wala Makamu wake.
Wao wameingia na kuelekezwa mahali walipoandaliwa kukaa.
Baadhi ya vitu sio lazima uvipinge kwa sababu havina tija kwa maendeleo chanya wala havitowi fundisho lolote kwa jamii.
Pia kuwa pingapinga sio alama ya elimu bali ni dalili za ubishi usio na tija pia.
Rais akipanda basi mnasema kadharauliwa,je kipi afanye ili awafurahishe?
Mtaendeleza bifu la kukaa benchi mpaka 2025?
Si mtafika mmechoka Sana?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
Acha kuchukulia vitu kwa wepesi, kila sehemu kun misingi yake, na unapofika lazima ufuate Sheria..Mada nyepesi sana. JPM alikalia kiti cha kwake alicholetewa na wasaidizi wake siku ile alipokwenda chuo kikuu na kuongea na wasomi hakuna aliyekuja na uzi kabisa.
usalam gn unaouzungumzia, watu walio serious kumpoteza wanawezaUsilaumu tu kwa macho yako mawili, pia ni sababu za kiusalama.
Haina maendeleo kupinga kitu kama hiki