Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

Hii ndio gharama ya Opposition kutetea vijana wa CCM.

They will always disappoint.

Angeandika bila kuweka neno " uzushi" na kusema "taarifa hizi si za kweli" angepungukiwa nini.
 
Tupo na uakika gani kwamba aliepost kwenye page yake ni yeye mwenyewe, ajitokeze live ,mambo serious aya , tz na dunia ni ndogo sana,
 
Post ya mwisho na HALALI ya Thadei Ole Mushi ni Ile ya tarehe 19th September (baada ya mtumiaji mpya wa account hii kuifuta post kuhusu timu ya simba).

Anayeiendesha account yake kwa sasa anajitahidi ila kuna makosa anayoyafanya (siyataji ataedit) ambayo wale wafuatiliaji wa karibu (wasio washabiki maandazi) wa kada huyu tunajua MWANDIKO na utaratibu wake SI HUU unaoendelea katika ukurasa wake. Mashabiki mbuzi ndio watakaoamini Thadei ndiye anaandika, kwa kuwa hawajui anaandikaje na jinsi anavyofikiri.

Lakini, hapa duniani unaweza kudanganya watu, ukageuza uongo kuwa ukweli kwa MUDA tu. Ipo siku ukweli utadhihirika.

Nadhani, kama mwenye account hawezi kuiaccess, anayefanya hivyo, hawezi kuuvaa uhalisia wa mtu mwingine. Bora kuiacha ikae bila kuandikwa chochote. Kuna vile Mungu katupa kila mtu upekee wake, na huo hakuna awezaye kuurekebisha.

Hata post hii kuhusu kurejea kwake ni kichekesho. Hii si akili ya Ole, Kuna vile anavyowasilisha mawazo yake, Kuna Aina za uchaguzi wa maneno, Kuna mpangilio nk... ni wazi kuwa huyu anayeitumia HAMJUI Ole Mushi kimaandishi, ametumia muda kupitia post zake za zamani akaigiliza ila nimwambie tu amefeli sana

NB uandishi ninaouzungumzia SI CONTENT ni PRESENTATION

Nakuombea kheri Ole.
Wako,
Bibi Happy Wa Joseph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akaigilizia!
 
Muda utaongea huyu si yeye sumu haina mzaha
 
Mkamuangalie kwake labda
 
.... Niwape taarifa kuwa nimerudi na tutaendelea kusomana hapa katika majadiliano ya mambo mbalimbali yayohusu jamii yetu kwenye nyanja zote (Siasa, Uchumi, Michezo nk)

Kidumu Chama cha Mapinduzi.

Ole Mushi
0712702602
Kurudi kutoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…