Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Nmekuelewa vyema kaka.
 
Hahaha tatizo hatuna uzoefu na haya mambo kaka.
 
Mkuu hapo hauana chako beba maumivu somga mbele tena anza kumkalia kimya uone atakavyojuta tafuta mwanamke wa kuziba upweke haraka.
Nimeanza kumkalia kimya na naona anavyo haha,maana anapiga simu mpaka usiku wa manane huko na msg kibao.
 
Yote ya nn mkuu. Ukishaona mambo yamefikia huko huwa haina haja ya kutafuta reconciliation. Utaumia bure na pengine kufikia maamuzi ya ajabu. Haya na mambo ya kugive up easily bila kuwaza.
Hili ndilo naishi nalo kwa sasa nimeshanyanyua mikono juu.
 
Nimeanza kumkalia kimya na naona anavyo haha,maana anapiga simu mpaka usiku wa manane huko na msg kibao.
Jikaze baba umia ila utapona tu...usije kuwa kama Ndugai kigeugeu na kuomba msamaha. Mwanamke akishaamua lake hana huruma hata chembe. Pigilia msumari hapo hapo.
 
Jikaze baba umia ila utapona tu...usije kuwa kama Ndugai kigeugeu na kuomba msamaha. Mwanamke akishaamua lake hana huruma hata chembe. Pigilia msumari hapo hapo.
Nimemkalia komya naona anavyo haha.
 
Linapofika swala la kuolewa mwanamke huwa huwa ni rahisi kukamatika hasa kama wewe hukumionesha Nia..

Sema kama unampenda usimuache mkuu mpiganie mpaka kieleweke, mwisho wa siku hao ndugu watakuheahimu tuu ukionesha msimamo.. moambanaie huyo na pesa tafuta pia ndo uanaume huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 

Ukijiangalia wewe na jamaa nani ana kipato kumzidi? Ukipata jibu hapo hiyo inaweza kuwa sababu
 
Nimemkalia komya naona anavyo haha.
Ila mapenzi yapo hivyo baada ya yeye kulia utaanza wewe kumtafuta je una ubavu wa kuvumilia. Futa namba yake harafu kauli zake jenga chuki uanze kumchukia tafuta mtu wa kuziba nafasi yake haraka sana.
 
Pia kama mwanaune usipende sana kulazimisha mahusiano, mahusiano ya kulazimisha hayanaga baraka
 
Mimi nishawahi kuharibiwa mahusiano zaidi ya mara moja na dada wa wapenzi niliyokuwa nao. Sijui huwa wanajikuta kina nani. Ila naye huyo alishindwa kusema ana mtu wake, hata kama hao madada zake wangeleta vita alitakiwa awe na msimamo. Yaani naona hao wapenzi wangu, wapo kama huyo wako.

Ila Trust me mahusiano au ndoa ya namna hiyo kuja kudumu ni ndoto, maana huyo kakubali kwa kushinikizwa na hao makuwadi wa kike. Utafikiei nao walitafutiwa wanaume zao kama wanavyofanya kwake.. Huyo akija kujijua alibugi kuwa na huyo jamaa na si chaguo lake, kama haoni cha kupoteza kuachana naye. Huyo jamaa atapigwa matukio, familia ya binti kila kukicha itakuwa ikiamua ugomvi
 
Nakuelewa vizuri kaka.
 
Mkuu ukitajiwa Madada au Wazazi jua fika wametajwa tu kama kisingizio ili kubalance lawama..

Ila kiukweli Maamuzi ni ya mhusika mwenyewe. Utakuta hata hao madada hamna wanachokijua kinaendelea.
Ni kweli kabisa.
 
Nakuelewa vizuri kaka.
Wewe jitenge taratibu na uangalie mustakabali mpya, au pambana uvunje ukaribu wa huyo jamaa mpya. Ila ujiandae kukutana na vita mpya kutoka kwa hao sada zake, wanaweza hata kuja kuwagombanisha ilimradi muachane. Hao hadi kutumia nguvu hivyo kuja kumuunganishs, wameshakula hela za huyo jamaa. Hawatokubali kushindwa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…