Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

Apa ndipo napata maana ya ule msemo mtu akiwa kijini anajua watu wanapata pesa zaidi na wanaotumia kama waliona hivo type Uzi wa SoMo jinsi gani tuziweke kukwepana na vishawishi maana utaacha hiki utataka uterezi pesa ishatumika pia sasa Tuache kipi tuchukue kipi
 
The current generations are creating short term pleasure for long term painful.

Sent using Jamii Forums mobile app
The current generation is concerned with what they see now, the future and its hidden glory does not concern them until they are in their prime.
I think If people could stick with the five laws of gold and sevens means of curing a lean purse, they would not be struggling financially..In summary, work, live on a budget and stick to it.
 
Weekend inaishia lkn najua kuna vijana huko wapo wanajilaumu sasahvi kwa matumizi na kufuru za jana jumamosi
 
Umeandika point sana ila umeharibu ulipotaja walimu.Wapo walimu wana mshahara mikubwa kuliko mnavyodhani.Acheni dharau watu was Jf bana
 
Mwaka juzi mida ya saa 9 usk nimetoka nje pale samaki spot Moro nipande boda nisepe, DJ sijui aliniona kama nataka kuondoka?, si akapiga ile nyimbo ya Lavalava "akinipenda mama inatosha"! Weeeeh nilirudi ndani kwa spidi ya 5G mamaeeer!
 
Akuna kocha wa mafanikio acha ufala bana
Dogo unaweza kukuta unamuita fala bosi wako au mume wa mama ako.

Kamuulize pdidy kocha wake ni nani, kamuulize billgates pia, wote watakwambia ni Ray Dalio. Unaposema hakuna kocha wa mafanikio unazidi kuonesha upuuzi wako na refined, grade A
 
Umeandika point sana ila umeharibu ulipotaja walimu.Wapo walimu wana mshahara mikubwa kuliko mnavyodhani.Acheni dharau watu was Jf bana
Vibwagizo tu hivo, kila nlipoandika vibwagizi nmeweka ishara za kucheka
 
Mwaka juzi mida ya saa 9 usk nimetoka nje pale samaki spot Moro nipande boda nisepe, DJ sijui aliniona kama nataka kuondoka?, si akapiga ile nyimbo ya Lavalava "akinipenda mama inatosha"! Weeeeh nilirudi ndani kwa spidi ya 5G mamaeeer!
Hahaa.. you belong here
 
Hapo kwenye kutumia pesa Kwa nidhamu ndo nilishaga shindwa aiseee[emoji16][emoji16]
 
CHAI.. Kwani mjomba wako ni Mbunge? Mtumishi wa serikali mwenye mafao kiasi hicho ni lazima ana mshahara mkubwa, na tayari amejipanga vyakutosha kabla ya kustaafu. Acheni kuleta stori za kwenye vijiwe vya kahawa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…