Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

Binafsi naona matumizi yaendane na kipato
Kijana acc inasoma umwambie masuala ya kujibana etc ni suala gumu kidg kuingia akilini
Binafsi kunywa kwa magroup ni suala ambalo siwezagi tokea zamani na ikitokea kila mtu na mfuko wake 🍻
 
Dahh.. Nina ka laki 3 hapa nilitaka nitoke ila umenikata stimu.. Sema acha nitoe tu 30k[emoji1787] Sema kiukweli ambao tumejiajiri Kuna muda tunakuwa na matumizi mabaya sana
 
Juzi sioni 60k ila nahisi kuna chimbo rum nliificha maana nlikuja na kademu kangu za long kidogo na asubuhi nlikasachi labda kama kalificha kunako makal ...... au basi 🀣🀣🀣
 
Tangazo lako limekaa poa sana ngoja warembo waje pm
 
Exactly
 
Sasa unafanya nini na hela zilizoongezeka
 

Broo una Moyo.
Mi natoka na Chawa mmoja Dem ntaokota huko Mbele ya safari.
Baketi ya kwanza yapili,Yatatu inaletwa room wakati Malay akiwa nyuch
 
Yap ni kwel hapa bora nimefungua JF maana nilikuwa na mpango wa kujilipua kufanya kufuru ya matumizi.

Umasikin mbaya sana, yaan unatufanya kile tulichokitafuta mwezi mzima tunakimaliza ndani ya siku3 which Is Nonsense.

Tujitahidi kuzingatia matumizi mazuri ya Pesa, watu wengi wana matumiz mabaya ya pesa hasa pale unapopita kipindi kigumu alafu ukazipata pesa, chap unakimbilia kuumwagilia moyo na kuupa pole mwili kwa starehe, unasahau kuwa shida haziishi na huwezi kuulizisha mwili hata ufanye nini.

La msingi tujitahidi kusave matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…