Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Mbona sijaona kauli rasmi ya serikali zaidi ya haya mapichapicha yenu yaliyotapakaa kila kona?

Hii habari mmeitolea wapi?
Ni vizuri kuchukua tahadhari kama ni uzushi itajulikana tuu... Nimeiweka hapa kwa nia njema kabisa
 
Nakumbuka habari za Kidudu MTU na Popo Bawa ziliwahi kuvuma sana late 90s sujui ziliishia wapi...Haijawahi kuthibitika muathirika wa hizi kitu pasina kuacha shaka...
 
Nakumbuka habari za Kidudu MTU na Popo Bawa ziliwahi kuvuma sana late 90s sujui ziliishia wapi...Haijawahi kuthibitika muathirika wa hizi kitu pasina kuacha shaka...
Cha kwanza na muhimu ni tahadhari
 
Mkuu;
Tuambie basi madhara yake. Picha haielezi madhara
 
ebu njooni tuelezane kuhusu huyu mdudu nasikia yupo kwenye mboga za majani na kwenye papai na hata kwenye majani ya mparachichi, na ana sumu kali kweli ukila mboga yenye mdudu huyo unakufa, Ebu tuambizane ni kweli????
 

Attachments

  • 19149392_862409477244996_4595525737450949014_n.jpg
    30.1 KB · Views: 72
  • 19225258_862409433911667_7595056025817976887_n.jpg
    47.9 KB · Views: 66
HEBU LETE MIFANO HAI YA WATU WALIOKUFA KUTOKANA NA MDUDU HUYO
 
[emoji30][emoji30][emoji30]
 

Attachments

  • IMG_20170618_222247_609.jpg
    93.5 KB · Views: 92
Kama papai limeshindwa kufa basi kwa mwanadam sahau. Mamuhimbili na mabugando yote hayo yanafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…