Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Huo ugonjwa unaitwa Ubiriunga unaathiri mimea Mingi Sana.
 
Hivi shule zinafunguliwa lini? Nimechoka na uongo wa wanafunzi humu
 
Yani watu humu wameshachunguza na kugundua kuwa huyo mdudu ana sumu kali na wanaripoti kuwa Kuna watu wamekufa kwa hiyo sumu,lakini cha ajabu serikali Haina hata taarifa za hivyo vifo.
 
Ni kweli kabisa nko sengerema mkuu na kweli nimejionea
 
weka picha mkuu
 

Attachments

  • IMG-20170618-WA0014.jpg
    60.6 KB · Views: 87
  • IMG-20170618-WA0013.jpg
    36.4 KB · Views: 73
Pattern tu katika mabawa yao, hakuna uchawi hapo! Designed to keep predetors away, including you. Kama unaweza ni kidudu mtu sijui, shauri yako
 
Huyu kidudu mtu awaache kwanza watu wa geita na wao nasikia kuna makinikia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…