Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Hiyo elimu uliyo nayo ndio inakuambia kuwa composition za bodi za taasisi za serikali ni siri!! Unasema hivyo wakati hapa kuna majina na picha za wajumbe wa bodi iliyotenguliwa! Siku nyingine tafakari kwanza kabla hujazungumza upuuzi humu ndani.Mtoto unazalia mwaka 2001 unajua nn😅😅ndio maana nakuambia tulia usome ,acha ushabiki maandazi.
Kaangalie bodi zote maana ni ishu za private ..
Hawa ni viongozi wa madrasa au Baraza la msikiti wa IdrisaNasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake
MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)
View attachment 2808520
Hivyo vidot kwenye mapaji ya uso vinaondoa creativityBinafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.
Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Ilikua ni bodi ya wajumbe wa msikiti nn maana naona ni Sigdaressalam mwanzo mwisho
Oh My word! Sikutegemea jibu hili.Kutambua/kunyambua/Kuvumbua au kwa neno lingine Kufunua ukweli au uhalisia wa mtu kupitia Uso ni kipawa/kipaji. Si rahisi kufundishwa.
Hivyo vidot kwenye mapaji ya uso vinaondoa creativity
Ndio maana nakuambia dogo tulia na usome ,angalua soma nilichoandika utaelewa😅😅.Hiyo elimu uliyo nayo ndio inakuambia kuwa composition za bodi za taasisi za serikali ni siri!! Unasema hivyo wakati hapa kuna majina na picha za wajumbe wa bodi iliyotenguliwa! Siku nyingine tafakari kwanza kabla hujazungumza upuuzi humu ndani.
Amandla....
JK ni wa leo?Si mwaka huu 😅😅😅ebu fuatulia huko mwanzo .
Ukweli ni kwamba huo ugalatia umejikita katika elimu na maendeleo kote duniani. Ndo maana zaidi ya 80% ya nchi zilizoendelea ni asili ya ugalatia. Jiulize kwa nini mataifa ya wagalatia yanaongoza kwa maendeleo. Jibu swali na fanya uchambuzi badala ya kulalamikia mifumo ya kidini tu.AAH WAPI,WAPATE KWA QUALIFICATIONS??
ENHE TUELEZE KAMA WAMEPATA KWA QUALIFICATIONS WANALIFANYIA NINI TAIFA ZAIDI YA WIZI NA UFISADI??
MNA LAANA WAGALATIA,TAIFA HILI LIMEKUWA MASKINI SHAURI YENU NYINYI WAGALATIA,MNACHOJUA NI KUIBA NA KUKIMBILIA KUTOA SADAKA KANISANI KWA BABA PAROKO,ETI FUNGU LA KUMI,FUNGU LA KUMI KWA WIZI WA MALI YA UMMA??
Jana kupitia kipindi cha Clouds FM mida ya asubuhi, watangazaji walikuwa wanajadili habari za magazeti ya hiyo jana, na moja ya habari ilikuwa ni mjadala juu ya Taarifa ya CAG.ndiyo,sasa ukitaka waendelee kukaa wagalatia waibe???
Kwa mfano wewe ulitakaje? Je serikali ina dini!?JK ni wa leo?
Ukweli ni kwamba huo ugalatia umejikita katika elimu na maendeleo kote duniani. Ndo maana zaidi ya 80% ya nchi zilizoendelea ni asili ya ugalatia. Jiulize kwa nini mataifa ya wagalatia yanaongoza kwa maendeleo. Jibu swali na fanya uchambuzi badala ya kulalamikia mifumo ya kidini tu.
Nishakuambia ninyi ni vichwa panzi.. unachukiaje chakula anachokula mtu mwingine?.. ishi maisha yakoVidot ni ishara kwamba hao watu ni wachamungu,ni watu wa IBADA,
WAKIKAA MAJITU NA ROZALI ZAO SHINGONI HAPO KAMA KENGELE WANACHOWAZA WAO NI POMBE NA KITI MOTO TUH,HAWAFAI WAIMBA KWAYA
NA WALIVYO NA EGO NA PRIDE SASA UTADHANI KUNA CHA MAANA WANAKIFANYA NDANI YA TAIFA HILI...😅😅Hao jamaa wana chuki yaani acha tu , tuishi nao maana hata madhehebu yao hawasali kanisa moja.
😅😅😅Watu wajinga kabisa hawajielewi.NA WALIVYO NA EGO NA PRIDE SASA UTADHANI KUNA CHA MAANA WANAKIFANYA NDANI YA TAIFA HILI...
UKIWAONA NA SUTI ZAO UTADHANI WATU WA MAANA KUMBE WAIZI TUH SHENZ HAWA,TAIFA LINAZIDI KUWA MASKINI WAO KAZI WANAYOJUA NI KUIBA TUH
Wewe ndio uliyesema kuwa bodi kama hizo zipo. Ukiambiwa uzitaje unakuwa na kigugumizi. Kama huna muda wa kuangalia dini za watu ulijuaje kuwa bodi lako lilikuwa na wagalatia watupu? Mimi sikukuambia ulete picha. Nimesema taja jina la shirika moja tu umeshindwa.Ndio maana nakuambia dogo tulia na usome ,angalua soma nilichoandika utaelewa😅😅.
Nimekuambia kasome kila taasisi ni siri maana zipo kweny website zao ,nenda kasome then uje .
Maana sina mda wa kuleta picha za watu ni privacy ya mtu ,yaani nileta picha na majina yao na taasisi kwa umri wangu si sahihi .
Wewe nenda Kaangalie mashirikq kibao ya umma .
Shirika nililoanza kufanya kazi bodi ni ya wagalatia watupu na alikuja mkurugenzi muislamu wakati ya Magufuli ....Sina mda wa kuangalia dini ya mtu yeyote safi.
Nishakuambia ninyi ni vichwa panzi.. unachukiaje chakula anachokula mtu mwingine?.. ishi maisha yako