Point kubwa sana hiiTanzania tunaagiza mno kuliko tunachozalisha. Hiyo inasababisha biashara kuwa nyingi kuliko wateja. Hapo kitakachotokea biashara kuwa ngumu, utokaji mgumu, fitina na hujuma Zitakuwa nyingi. Vita za kibiashara pia zinasababisha watu kufanyiana hujuma kwa kupandishiana kodi na tozo na fitina bandarini.
Hata kodi zikipunguzwa itapunguza makali kwa muda tu, baadae yatarudi yaleyale
Bandari inatakiwa iexport vitu toka tz kwenda nchi zingine duniani. Sio kuagiza tu.
Wakae meza moja na naniWaachane Ni migomo ni njia ya kizamani Sana yakutatua migogoro...wakae meza moja nawahusika wayamalize.
"Ila list za kielectronic watoe waache janja janja "
Haya, Sawa bhana! Mimi sina Neno!USITUTISHE
Waachane Ni migomo ni njia ya kizamani Sana yakutatua migogoro...wakae meza moja nawahusika wayamalize.
"Ila list za kielectronic watoe waache janja janja "
Wakae meza moja na kiongozi/Waziri au waandke barua ispojibiwa ndo hayo Mambo ndo waendeleeWakae meza moja na nani
Alafu awasikilize
Ova
Sorry mkuu nilijichanganya namaanisha STAKABADHIList gani tena?
Ngoja niifatilie hii habari kwa kinaSwali zuri sana.
Hili suala inatakiwa kuwa na mipango ya muda mrefu na uongozi bora. Pia upatikanaji wa mitaji kiurahisi ili kuanzisha viwanda mfano china wana mabenki maalumu kwa kila sector, Kuna benki ya viwanda, benki ya kilimo, benki ya wakandarasi e.t.c. Pia kuweka mifumo ya kulinda viwanda vya ndani.
Nahisi kuna uzi humu alielezea kwa kina mtaalam wa uchumi Naanto Mushi alielezea
Wamachinga migomo,
Lipeni tu kodi. Kodi ipo kisheria. Sote tuhakikshe tunalipa kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Wacha tuone hii ligi