sio fake vinaletwa kulingana na uwezo wetu wa kununua.Nchi nyingi za kiafrika zimejaa wachina na bidhaa zao fake! , hapo tena tusahau viwanda vyetu vya ndani kukua...
Cha msingi wananchi kupata mahitaji yao. Wafanyabiashara washindane, anayeshindwa basi huyo si mfanyabiashara.Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.
Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.
Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa
Source
EATV
My Take
Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
😂😂 Waache uzembe Wapanue wigo, wapanue wigoo. Sahwah?Wapanue tu wigo mpana hamna namna.
Yaani nyau mchina? Hii sijawahi ona 😂
Labda wameomba uraia na kukubaliwa.Unajuq sheria zq uwekezaji nchini zina ruhusu kufanya kazi gani? Mgeni anapoingia nchini halafu anafanya biashara ambazo amekatazwa kisheria na zimeachwa kwa ajili ya wazawa ni uliukwaji wa sheria. serikali iko wapi?
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.
Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.
Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa
Source
EATV
My Take
Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
Nchi nyingi za kiafrika zimejaa wachina na bidhaa zao fake! , hapo tena tusahau viwanda vyetu vya
Watanzania wangapi wanaweza ku afford bidhaa original? Ndiyo maana nguo za mitumba zina nunuliwa zaidi. Magari tunanunua used. Wabongo wangapi wanaweza ku afford electronics original za samsung, LG?Hoja ni bidhaa fake, kama wanaleta bidhaa zenye ubora sioni tatizo.
Nope si rahis kihivoLabda wameomba uraia na kukubaliwa.
SawaNope si rahis kihivo
Ebwana kweli kabisa Wachina wameshtuka wao wapo kutusaidia watuuzie vitu kwa gharama nafuu ila wabongo wapo kutupiga hii nilishaishuhudia sehemu aiseeWafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.
Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.
Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa
Source: EATV
My Take: Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
Acha mchina auze kwa bei nafuu wewe raba unakomaa 55k kumbe kwa mchina 15k tu mnapiga watu na vitu vizito pumbavu mnataka mjenge mahekalu?Zikitangulia bidhaa duni kupindukia za machina, mchaga na mkinga wakawa wanagombana wao Kwa wao ndidi ya bidhaa.
Sasa amekuja machina choko kwa kivuli cha mwekezaji, naona mchaga na mkinga wanagombana nae.
Serikali iko pale inasikilizia.
Ndio maana US na kwingineko serikali zimeshtuka zinafukuza machoko
Kama Sukari zinazotoka nje zinawekewa kodi kidogo, halafu za ndani mikodi kama yote unategemea nini?.Kulinda viwanda vya ndani kwa nchii iliyojaa mafisad ni ujinga! Imagine sukari inayotoka nje inabei nafuu kuliko inayozalishwa ndani,
Kuna umuhimu gani sasa kulinda viwanda vya ndani? Ili iweje?
Tatizo ni Serikali sio TBS.Kwani ulilazimishwa kununuwa bidhaa zao?
Hapo wakuilaumu ni TBS siyo wachina, kama TBS imeshindwa kusimamia ubora kwa kuhongwa au kwa uzembe wao, wachina wana kosa lipi?
Halafu baadae mnalalamika ajira hamna.Cha msingi wananchi kupata mahitaji yao. Wafanyabiashara washindane, anayeshindwa basi huyo si mfanyabiashara.
nashauri na hao wa kariakoo walioko huko China warudishwe huku kwaoWafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.
Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.
Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa
Source: EATV
My Take: Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
Tumia akili japo kidogo, toka lini serikali haijawahi kuwa tatizo?Tatizo ni Serikali sio TBS.