greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Viwanja vya ndege vyote hapa nchini na nje ya nchi huwa vinatakiwa kujengwa nje ya mji....Mbona Treni ipo katikati ya mji?. Na hata uwanja wa ndege upo katikati ya mji ila stendi ya mabasi wamepeleka mafichoni.
Hawa wapambane na hali yao tu hakuna namna.Halafu hivyo vizimba vilikuwa vinatolewa kwa kujuana na majina na connection
Mabasi hayakwepi lazima yaingie stand ila huko kote yanakopita kama mfano linatoka tanga kuna abiria wa bunju litawaacha bunju kabla ya kuingia stand ya magufuli kisha kama linaenda urafiki litaondoka na wanaoelekea kule. Same kama linaenda tanga liaanzia urafk litakuja ana abiria kutoka huko liingie magufuli kisha likitoka lipite tegeta likute abiriaa libebe bu ju hivyo.kurasa zote nimesoma sijaona aliyeongelea sababu za mabasi kukwepa stendi ya mkoa
Muwe mnatoa mifano km watu wenye akili timamu.Mbona ndege huwa hamuombi mshushwe kwenu mnakubali kwenda airport? Utaratibu wa vituo ni muhimu sana, mkifanya shaghala baghala msilalamikie mfumo na utaratibu wa serikali.
Sasa Stand ya bus ya nini kama unaweza panda na kushuka popote?
😄😄😄😄😄😄Umewahi kumuona mtu anashuka kwenye ndege halafu anaenda kugombania daladala? Umewahi kumuona mtu kwenye ndege anagombana na kondakta kisa buku?
Acha uongo. Abood lazima aingie stendi ya Magufuli kupakia. Hakuna basi aliingii pale stendi kupakia, wanachofanya ni kuwapa abiria offer ya kuwabeba nje ya kituo Cha stendi ya Magufuli. Ilitakiwa wapongezwe kwa moyo mzuri.Miongoni mwa wamiliki wasiotaka kupakia abiria Magufuli Bus terminal ni ABOOD.
Ulishatoa mada, jukwaa zima limetofautiana na wewe ungekuwa muungwana ungejitafakari lakini wewe michango ya kukomaa naiona unajibu kila mchango wa mwanajukwaa. Katafute biashara nyingine.Ok sasa kila abiria atashushwa anapoishi Dar es Salaam hii?! mhmm haya ngoja nikae na ujinga wangu.
Hiko sikatai lakini mfumo ilitakiwa Mfumo wote wa Mabasi makubwa:Kuanzia stendi hadi Karakana ni zikae nje ya mji....Kitu ambacho huelewi ni kwamba abiria wanaooelekwa urafiki au shekilango ni kama offer ya mwenye basi na sio sheria. Ni mwenye basi kumjali mteja wake na kumpunguzia gharama zisizo za lazima.
Kwani wakipitia bagamoyo si wanaingilia Tegeta-wazo-Madale-Goba-Mbezi MagufuliBro tafuta location nyingine ya biashara. mtu anatokea Tanga/Arusha/Moshi amepita bagamoyo aje ashukie Magufuli?
Acha kukariri stand yaweza kuwa mahala popote abiria wanapopatikana na kuyafikia mabasi kirahisi.
Tafuta location mpya abiria sio wateja. 😂Kwani wakipitia bagamoyo si wanaingilia Tegeta-wazo-Madale-Goba-Mbezi Magufuli
mi naona poa hajakosea,,,,Hapa ni sehemu ya kubadilishana mawazo mkuu....Ulishatoa mada, jukwaa zima limetofautiana na wewe ungekuwa muungwana ungejitafakari lakini wewe michango ya kukomaa naiona unajibu kila mchango wa mwanajukwaa. Katafute biashara nyingine.
Uswahili!!!Mimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Tutaangalia interest ya abiria. Ndio maana huko kote Kuna mabasi yanaanza huko. Kwa watu wa mbande, kimbiji etc Kuna stendi Kigamboni, chanika, Temeke nk. Kwa bunju mabasi yanapitia njia ya bagamoyo au anaweza kukimbilia basi magomeni au urafiki Lazima tuwa appreciate wenye mabasi kwa kuwajali abiria baadala ya kulaumu.
- Abiria wanaoishi nje ya stendi ya Magufuli,,,wanatakiwa wafike stendi kwa mfumo wa usafiri wa ndani ya jiji....(Daladala,bolt,Bajaaj,boda)
- Kwani unafkiri Ubungo ilikuwa karibu kwa kila mtu,,,watu wa Bunju,Chanika,Mbande,Kibada,Ununio,Mbweni,Kimbiji....ushawahi kaa hayo maeneo ,,,nayo yapo mbali kutoka Ubungo.
Lazima utambue kwamba katika suala la usafiri abiria ndiye center ( ndiye customer) ya jambo hilo.
- Abiria wanaoishi nje ya stendi ya Magufuli,,,wanatakiwa wafike stendi kwa mfumo wa usafiri wa ndani ya jiji....(Daladala,bolt,Bajaaj,boda)
- Kwani unafkiri Ubungo ilikuwa karibu kwa kila mtu,,,watu wa Bunju,Chanika,Mbande,Kibada,Ununio,Mbweni,Kimbiji....ushawahi kaa hayo maeneo ,,,nayo yapo mbali kutoka Ubungo.
Siyo kweli, biashara inategemea watu wanao kuzunguka pamoja na hao abiria, changamoto ya hizi biashara zilizoko kwenye stendi bidhaa huuzwa Kwa bei ya juu,(biashara nyingi ni za kulazimisha mteja anunue), hata mimi Huwa spendelei kununua vitu stendi, hata hivyo unatakiwa uuze bidhaa ambazo unajua wateja watazinunua na siyo unazo fikiria watanunua, (you have to sale what you know they are going to buy not what you what you think they are going to buy).Siku zote biashara haitakiwi kutegemea Stendi, bali stendi ndio inapaswa kutegemea biashara yako, shida ni hawa wafanyabiashara walidanganywa na ccm
Nimepita hapo stendi zaidi ya mara 50 lakini sikuwahi kununua chochote, hii ni kwa sababu si lazima abiria kununua kitu hapo stendi, sasa wanacholilia ni nini?
Sidhani Kama wameachiwa. Wanapitia Mbezi na kulipa ushuuru ila Kama Kuna abiria wanaenda basi linapoishia wanapewa offer mpaka huko. Kwa mfano mabasi ya Tabora Dar, yanaishia Magomeni, lakini lazima yaingie Magufuli hata mabasi ya Dar Mwanza mengi ni shekilango lakini lazima yaingie Magufuli. Wanachojaribu kufanya Hawa wamiliki wa mabasi ni kuwafikia abiria kwa iharaka kutokana na ushindani na pia kuwapa offer abiriaSasa wenye Mabasi hawatakiwi waachwe huru kiasi hiko....
Lazima wafuate utaratibu,,,
Mana sasa hayo Mabasi hadi Chanika na Vijibweni nisha yaona.....
Hatakama tupo Soko huru lakini lazima vitu vifanyke kwa utaratibu...
Nyakati zinabadilika. Mfumo wa mabenki si unaona jinsi umebadilika pia. Sahivi unapata mawakala mlangoni. Akaunti unafunguliwa ukiwa hata sokoni.Mbona wakati ipo Ubungo shughuli zote zilikuwa zikifanyika pale? Tulikuwa tukila na kununua bidhaa kabla ya safari