Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Soko huria ifanya kazi! 😄Mimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soko huria ifanya kazi! 😄Mimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Na serikali kuruhusu vituo vya mabasi zaidi ya kimoja kwa Dar ni kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara wa mabasi, wanaofungusha mizigo Kariokoo n.k Wamachinga sio wafanyabiashara pekoe nchii hii na hawana special status kamaNi jukumu la serikali kukuwekea mazingira wezeshi ktk biashara yako. Mfano walipohamisha wamachinga ili serikali kuwalinda wamachinga iliwalazimu kuongeza ruti za daladala kususha huko walikopelekwa.
basi tufanye kila mtu akae eneo alilotengewa!! Tuondoe machinga stendi na abiria wa mikoani ashushwe stendi ili kuondoa dhana hii ya kuwa na utitiri wa vituo vya machinga na abiria. Jiji linatakiwa kuwa safi, mtu akifika aone ni jiji lenye mpangilio.Ninyi masoko yenye machinga haujui yalipo nikuelekeze?
Mumeacha vizimba vyenu kule machinga Complex mnaenda kusumbua abiria huko stendi.
Hata serikali imewawekea ninyi mazingira yenu ya kufanyia biashara.
Mnataka mji mzima mzagae hovyo hovyo?
Au wewe ni Sarange?
Sisi abiria ndio tumewaambia wamiliki wa bus wagomee ujinga wa aina yeo kwa niaba yetu kwa sababu ni rahisi zaidi wao kusikilizwa na serikali.Hakuna abiria aliyeibua hayo ni nyie wamiliki. Abiria akishajua utaratibu ni huu yeye atafuata ndo maana sijaskia abiria akisema nitagoma kutumia bus ila wamiliki ndo wanasema watagoma.
Mizigo ukiitoa kariakoo peleka ofsi ya bus husika then litapakia hyo mizigo. Elewa stendi ni kutuo cha bus za abiria na siyo kituo cha bus za mizigo. Mizigo inapakiwa ofsini kwenu na abiria wanapakiwa stendi.Na serikali kuruhusu vituo vya mabasi zaidi ya kimoja kwa Dar ni kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara wa mabasi, wanaofungusha mizigo Kariokoo n.k Wamachinga sio wafanyabiashara pekoe nchii hii na hawana special status kama
basi tufanye kila mtu akae eneo alilotengewa!! Tuondoe machinga stendi na abiria wa mikoani ashushwe stendi ili kuondoa dhana hii ya kuwa na utitiri wa vituo vya machinga na abiria. Jiji linatakiwa kuwa safi, mtu akifika aone ni jiji lenye mpangilio.
Hahaaa!! Nchi hii hakuna mmiliki wa bus wa kugoma kama haimlipi, kuna namna wenye bus wanafaudika na jambo hili.Sisi abiria ndio tumewaambia wamiliki wa bus wagomee ujinga wa aina yeo kwa niaba yetu kwa sababu ni rahisi zaidi wao kusikilizwa na serikali.
Anza kwanza kuwaondoa hao wamachinga na vibaka wengine wote kwenye stendi zote mbili za mabasi na daladala hapo mbezi ukishamaliza hiyo kazi ndio urudi kwa abiria na wamiliki wa mabasi sasa kujadiliana huu utopolo.basi tufanye kila mtu akae eneo alilotengewa!! Tuondoe machinga stendi na abiria wa mikoani ashushwe stendi ili kuondoa dhana hii ya kuwa na utitiri wa vituo vya machinga na abiria. Jiji linatakiwa kuwa safi, mtu akifika aone ni jiji lenye mpangilio.
Hii sawIshauri serikali ianze na hiyo ya kuondoa machinga waliozagaa kila kona ya jiji alafu bila kulipa kodi. Ndipo uje na hili la kushusha stendi ya Magufuli
Kwani wenye mabasi wakinufaika wewe inakuuma nini? Serikali inapungukiwa nini?Hahaaa!! Nchi hii hakuna mmiliki wa bus wa kugoma kama haimlipi, kuna namna wenye bus wanafaudika na jambo hili.
Hii saw
We ndo mjinga.
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa mabasi angeivimbia serikali namna hiii?
Halafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa maslahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayohitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John Pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
KWani machinga akinufaika na stendi we inakuuma nn?Kwani wenye mabasi wakinufaika wewe inakuuma nini? Serikali inapungukiwa nini?
Lengo ni kuhakikisha hatuleti kero mjini. Dar imebanana hivyo bus ziwe na final destinationBaadaye utakuja kulalamika wafanyabishara wa Kariakoo/sokoni wanaofanya Deliver kwa wateja wao kuwa kwa nini wateja wasiende Kariakoo/sokoni wenyewe.
Acheni akili za kinyumanyuma dunia inakimbia kwenda mbele
Lengo ni kuhakikisha hatuleti kero mjini. Dar imebanana hivyo bus ziwe na final destination
Tumia akili basi.Kwa hiyo na ndege zifuate abiria walipo? Kuna haja gani ya kutumia pesa nyingi kujenga stendi??
NB: Arusha mbaki na stendi yenu maana tumeona hazina umhimu.
Yakifuatq kunakuwa na madhara gani?Sgr nayo iwe inafuata abiria. Mkuu utaratibu lazima uwepo na upo kila nchi. Hiyo ya mabus kufata abiria sio sahihi ni kulazimisha tu
Siyo 5?? But all in all ni wilaya zilizopo karibu ambazo zinafikika kiurahisi sanaDar inawilaya sita kumbuka
Labda ungeshauri barabara ya Bunju kuwepo pia na stendi kisha barabara ya Mbagala mpaka kongowe kuwe na stendi
Ili kurahisha