Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Ni jukumu la serikali kukuwekea mazingira wezeshi ktk biashara yako. Mfano walipohamisha wamachinga ili serikali kuwalinda wamachinga iliwalazimu kuongeza ruti za daladala kususha huko walikopelekwa.
Na serikali kuruhusu vituo vya mabasi zaidi ya kimoja kwa Dar ni kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara wa mabasi, wanaofungusha mizigo Kariokoo n.k Wamachinga sio wafanyabiashara pekoe nchii hii na hawana special status kama
 
Ninyi masoko yenye machinga haujui yalipo nikuelekeze?

Mumeacha vizimba vyenu kule machinga Complex mnaenda kusumbua abiria huko stendi.

Hata serikali imewawekea ninyi mazingira yenu ya kufanyia biashara.

Mnataka mji mzima mzagae hovyo hovyo?

Au wewe ni Sarange?
basi tufanye kila mtu akae eneo alilotengewa!! Tuondoe machinga stendi na abiria wa mikoani ashushwe stendi ili kuondoa dhana hii ya kuwa na utitiri wa vituo vya machinga na abiria. Jiji linatakiwa kuwa safi, mtu akifika aone ni jiji lenye mpangilio.
 
Hakuna abiria aliyeibua hayo ni nyie wamiliki. Abiria akishajua utaratibu ni huu yeye atafuata ndo maana sijaskia abiria akisema nitagoma kutumia bus ila wamiliki ndo wanasema watagoma.
Sisi abiria ndio tumewaambia wamiliki wa bus wagomee ujinga wa aina yeo kwa niaba yetu kwa sababu ni rahisi zaidi wao kusikilizwa na serikali.
 
Na serikali kuruhusu vituo vya mabasi zaidi ya kimoja kwa Dar ni kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara wa mabasi, wanaofungusha mizigo Kariokoo n.k Wamachinga sio wafanyabiashara pekoe nchii hii na hawana special status kama
Mizigo ukiitoa kariakoo peleka ofsi ya bus husika then litapakia hyo mizigo. Elewa stendi ni kutuo cha bus za abiria na siyo kituo cha bus za mizigo. Mizigo inapakiwa ofsini kwenu na abiria wanapakiwa stendi.
 
basi tufanye kila mtu akae eneo alilotengewa!! Tuondoe machinga stendi na abiria wa mikoani ashushwe stendi ili kuondoa dhana hii ya kuwa na utitiri wa vituo vya machinga na abiria. Jiji linatakiwa kuwa safi, mtu akifika aone ni jiji lenye mpangilio.

Ishauri serikali ianze na hiyo ya kuondoa machinga waliozagaa kila kona ya jiji alafu bila kulipa kodi. Ndipo uje na hili la kushusha stendi ya Magufuli
 
Sisi abiria ndio tumewaambia wamiliki wa bus wagomee ujinga wa aina yeo kwa niaba yetu kwa sababu ni rahisi zaidi wao kusikilizwa na serikali.
Hahaaa!! Nchi hii hakuna mmiliki wa bus wa kugoma kama haimlipi, kuna namna wenye bus wanafaudika na jambo hili.
 
basi tufanye kila mtu akae eneo alilotengewa!! Tuondoe machinga stendi na abiria wa mikoani ashushwe stendi ili kuondoa dhana hii ya kuwa na utitiri wa vituo vya machinga na abiria. Jiji linatakiwa kuwa safi, mtu akifika aone ni jiji lenye mpangilio.
Anza kwanza kuwaondoa hao wamachinga na vibaka wengine wote kwenye stendi zote mbili za mabasi na daladala hapo mbezi ukishamaliza hiyo kazi ndio urudi kwa abiria na wamiliki wa mabasi sasa kujadiliana huu utopolo.
 
Hahaaa!! Nchi hii hakuna mmiliki wa bus wa kugoma kama haimlipi, kuna namna wenye bus wanafaudika na jambo hili.
Kwani wenye mabasi wakinufaika wewe inakuuma nini? Serikali inapungukiwa nini?
 
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.

Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa mabasi angeivimbia serikali namna hiii?

Halafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa maslahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayohitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .

Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John Pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
We ndo mjinga.
Kazi ya serikali ni kutoa unafuu kwa watu wake na sii kuwaongezea magumu.
Hivi mtu yuko mbagala' au chanika aje hadi mbezi kupanda gari we unaona ni sawa?

Pia kwa kutokupakia na kushusha huoni imepunguza foleni na mda wa kuingia na kutoka?
 
Tatizo tunadhani tupa kwenye Soko Huria na tunapiga kelele kwamba soko huria ndio mpango mzima wakati uhalisia ni kwamba tunataka / tunapenda na tunaendelea na planned economy....; Kwahio kilichopo ni mchanyato wa kupiga siasa na blah blah zisizo na mwisho....

I thought wafanyabiashara huwa ni watu innovative na wenye kuadapt na kuona kila changamoto ni fursa.... (Au hayo yanapatikana kwenye semina za motivational speakers)?
 
Ila watu wa dar mnapenda unafuu sana. Hii nchi ndo tunakuwa na watu wa kupush agenda za kijinga, tunakuwa na vijana wanaohitaji mijimama iwalee. Vyanzo ni kama hivi
 
Baadaye utakuja kulalamika wafanyabishara wa Kariakoo/sokoni wanaofanya Deliver kwa wateja wao kuwa kwa nini wateja wasiende Kariakoo/sokoni wenyewe.

Acheni akili za kinyumanyuma dunia inakimbia kwenda mbele
Lengo ni kuhakikisha hatuleti kero mjini. Dar imebanana hivyo bus ziwe na final destination
 
Lengo ni kuhakikisha hatuleti kero mjini. Dar imebanana hivyo bus ziwe na final destination

Dar inawilaya sita kumbuka
Labda ungeshauri barabara ya Bunju kuwepo pia na stendi kisha barabara ya Mbagala mpaka kongowe kuwe na stendi

Ili kurahisha
 
Kwa hiyo na ndege zifuate abiria walipo? Kuna haja gani ya kutumia pesa nyingi kujenga stendi??
NB: Arusha mbaki na stendi yenu maana tumeona hazina umhimu.
Tumia akili basi.
Kwa hyo unataka kusema kukiwa na Airport moja biashara inakua nzuri ktk hyo Airport.
Suala la usafiri ni zaidi ya biashara' ni kutoa huduma pia.
Sasa huduma haitakiwi kuwa ya gharama kubwa
 
Dar inawilaya sita kumbuka
Labda ungeshauri barabara ya Bunju kuwepo pia na stendi kisha barabara ya Mbagala mpaka kongowe kuwe na stendi

Ili kurahisha
Siyo 5?? But all in all ni wilaya zilizopo karibu ambazo zinafikika kiurahisi sana
 
Back
Top Bottom