Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

Muulize Nehemia mbona alishindwa Upanga kama unadhani rahisi hivyo.

Anyway its even illogical kwa serikali kukubali eneo la biashara kuvunjwa kishamba; hakuna economic sense.
 
Ttz hii nchi imefika hatua ya kwamba ni ngumu kujua yupi yupo sahihi kati ya mlalamikaji na mlalamikiwa unabaki tu kuangalia mwisho wake ni upi
Hii comment yako ndiyo inatakiwa ibebe thread yote. Tanzania tuna tatizo kubwa sana. Tumepotea njia ila watu hawataki kusema ukweli. Bila kufumua mfumo wote wa utawala na kuanza upya kwa kujiwekea kanuni zinazoendena na mazingira ya sasa ni bure.
 
Yale yale, matatizo ya akili yanazidi kushamiri
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ety umpe mpangaji fidia [emoji28][emoji28]
Huo ni mkataba wao tu; ila hiyo ni taasisi ya serikali kuna sheria mama ambayo ni universal kwa taasisi zote za serikali.

Ni vilaza tu, msiolewa including huyo lawyer alie draft huo mkataba.

Halafu Issue kubwa zaidi uwezi kupoteza biashara zaidi ya elfu moja na watu zaidi ya 10000 si ajabu wenye direct and indirect dependant na hizo biashara; pamoja na kodi za biashara kishamba ivyo.

This why people do investment appraisals first. Swala ambalo sidhani kama wamepelekewa kwenye baraza la mawaziri ku-justify uharibifu huo kwanza.
 
Unyanyasaji wa vipi, terms za mkataba si wanazijua lakini..?
 
Nilipoona mzanzibar anakuwa.DG wa NHC.Halafu mtu anatoka kuongoza NGO ndogo tu eti anakuja kuongoza NHC.Mwarabu atapewa.hivyo viwanja. YAANI MAGUFULI MTANGANYIKA TUTAKUKUMBUKA.TUNAKUKUMBUKA.
Comment zako nyingi ni negative hata sehemu ya kutumia akili ndogo tu wewe huwezi bali unaendeshwa na mihemko ya kipumbavu,bila shaka utakua unapitia kwenye maisha magumu sana,hivyo unatumia hizi negative comment zako kama njia mojawapo ya kujifariji.
 
Hizi nyumba za nhc zishakua za watu binafsi, unalipa Kodi milioni Moja kwa mtu ye anapeleka 250k serikalini, wazivunje zote tu
Nyumba nyingi za NHC wamezulimumiwa watu binafsi na Nyerere, na nyingi zilikuwa za Watanzania wenye asili ya Asia.

Hakuishia hapo akatuzulumu Tanganyika yetu kwa lengo la "kuwameza"Wazanzibari, sasa tumemezwa sisi, ujanja mwingi mbele giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…