Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

"..... hao watu wanaenda kula wapi?...." A typical Tanzanian dumbass question.

Ukipanga nyumba mkataba wako ukaisha na mwenye nyumba akakupa notisi ya kuhama miezi mitatu unajiliza ukidai utakula wapi?
Nyinyi ndio kama wale wapuuzi wa Magomeni kota waliokuwa wanalialia eti "nimezaliwa hapa, nimekulia hapa sasa naondolewa nitaenda wapi".

Nyumba za NHC sio mali ya urithi wala mkataba wa kudumu, someni hayo makaratasi mliyosaini, hamkuuziwa nyumba mlipangishwa. Nyinyi ni wafanyabishara tena capitalists, kwenye capitalism world hamna huo uwendawazimu wa 'hawa watakula wapi'. Nyumba ziko prime area ila hali yake ni kama mabanda, muundo wa kizamani hata total area ya kufanyia biashara inabanwa. NHC wanataka wajenge zinazoendana na wakati na kuboresha nyinyi mnaleta njaa zenu za siku moja kama ndege. Miji haijengwi kwa mawazo ya kulalia na kula usiku mmoja, inajengwa kwa kuwaza miaka kadhaa mbele. Paris ya sasa ilijengwa miaka ya 1800s kama wangeleta njaa za kula usiku mmoja wangekuwa kwenye magofu hadi leo.
01E08349-9B54-4E20-A98A-A51D3A6215BD.jpeg

Shida ya watu kama nyie ni kukariri mambo hilo ni moja ya soko maarufu mjini Hong-Kong hilo eneo per square meter ni most expensive duniani. Sio mbali na hayo majengo ni downtown yao sasa yanafania ni vitu vilivyoangushwa maeneo ya Financial sector huko kwao.

Hivi unadhani capital city ya safe heaven as well as legit Financial services ina shortage ya mitaji ya kuvunja hizo dilapidated properties za street markets. Wanayaacha kwa sababu ya kulinda identity ya eneo na tamaduni za watu wao.

Sisi badala ya kutaka kuona kariakoo tunaondoa vibaka iwe sehemu salama ya watalii kuweza kuja kununua vitu vya kitanzania; kama kwingine duniani tunataka kuibadilisha.

Nimekuwekea na article ya kwanini giants supermarkets za west nyingi zilishindwa mainland China; kwanza upewi eneo la uwekezaji wa retail karibu na popular street markets ili kulinda long customs zao.

Embu waafrica acheni ushamba wa kudhani kila kitu lazima kibadilike.

Ukirudi huko kwenye huo mkataba unaotetea subiri hao wafanyabiashara waende mahakamani halafu mkataba udadavuliwe kwa terms z commercially contracts. Ndio utaelewa kwa hiyo notice waliyotoa NHC lazima walipe fidia ni mda mdogo mno; hapo watu wanahitaji si chini ya miaka miwili kuwatoa wenye maduka yao.

Mnatoa mambo vichwani mwenu tu na kubwabwaja as if kwenye hii dunia hakuna kanuni za kuishi na kufanya mambo.
 
View attachment 2657297

Shida ya watu kama nyie ni kukariri mambo hilo ni moja ya soko maarufu mjini Hong-Kong hilo eneo per square meter ni most expensive duniani. Hizo hayo majengo yanafanana naliyopo down town.

Hivi unadhani capital city ya safe heaven na legit Financial industry ina shortage ya mitaji ya kuvunja hizo dilapidated properties. Wanayaacha kwa sababu ya kuacha identity ya eneo na tamaduni za watu wao.

Nimekuwekea na article ya kwanini giants supermarkets zilishindwa mainland China; kwanza upewi eneo la uwekezaji wa retail mwekezaji karibu na street markets ili kulinda long customs zao.

Embu waafrica acheni ushamba wa kudhani kila kitu lazima kibadilike.

Ukirudi kwenye huko mkataba unaotetea subiri hao wafanyabiashara waende mahakamani halafu huo mkataba udadavuliwe commercial utaona kwa hiyo notice waliyotoa NHC lazima walipe fidia ni ndogo mno; hapo watu wanahitaji si chini ya miaka miwili.

Mnatoa mambo vichwani mwenu tu na kubwabwaja as if kwenye hii dunia hakuna kanuni za kuishi na kufanya mambo.

We jamaa kwan umeshikilia maduka mangapi apo [emoji28]au ndio wale wale mnaokodisha mara mbili frem ...karibia frem nying kkoo za nhc watu wanalipa kodi zaid ya ile inayotakiwa
Na hii ni kutokana na madalali kama nyie
 
It’s principles kutetea au kupinga kitu sio lazima uwe mnufaika wa moja kwa moja.

Na hiyo hatua ya NHC ni immoral
 
Kwanini uvunje investments ambazo ni cashcows za shirika kisa tu ni prime area. Badala ya kutafuta maeneo ya wazi utanue jiji kama una hiyo mitaji.

Hizo ndio akili za investment za watanzania kupenda mambo rahisi. Serikali imewapa hela ya kumaliza mradi wao wa Kinondoni na Kawe apartments; kwanini wasisubiri iishe wapime occupancy rates ya hiyo miradi kabla ya kuruhusu upuuzi mwingine.

Ni mipango ya ovyo mno; kwa sasa NHC inapata 100% revenue ya hayo majengo, si ajabu baada ya uwekezaji wa ubia kila kitu kikikiisha mapato yakawa chini baada ya kukagawana na mwekezaji.

Hakuna la maana hapo zaidi ya uwekezaji, halafu kuondoa biashara 1000 ambazo zinalipa kodi kiasi gani unapoteza serikali, kiasi gani cha hasara unaweza zipa Bank, familia ngapi unazipa umaskini.

Huyu mama anachezewa sana na mafisadi, 2025 nyumba yake ya uraisi anayostahili kujengewa na serikali huko Kizimkazi au popote alipochahua tuakikishe ishaisha; hiyo kazi sio ya size ata kidogo tunalazimisha tu.
We unaongea huna Abc zozote za Biashara kila kitu unaleta siasa.

Kariakoo Majengo ya Wakinga, Wachaga, Waarabu yana ghorofa 5 ama 6 yanabomolewa sababu tu hayana Frame basement watu wanaanza upya.

Serikali inakosa mabilioni ya mapato eti bado frame zao ni laki kadhaa halafu mikubwa unakuta jengo zima lipo mtaaa mzima lina frame hata 10 hazifiki. Na wanaokodi wanauza vitu vya kipuuzi puuzi sababu anajua ata afford kodi, mtu anachukua Frame ya NHC anauza soda na Vitafunwa kama Keki na Biscuit.

Angalia jengo la swahili plaza lile ni ubia wa serikali na Mtu binafsi, Frame ya ndani ni 1.2M serikali inapata,

Hata mtu Binafsi ajenge achukue asilimia 50 bado Serikali itapata Mapato makubwa kuliko huu Upuuzi wa sasa.
 
Nyumba nyingi za NHC wamezulimumiwa watu binafsi na Nyerere, na nyingi zilikuwa za Watanzania wenye asili ya Asia.

Hakuishia hapo akatuzulumu Tanganyika yetu kwa lengo la "kuwameza"Wazanzibari sasa tumemezwa sisi, ujanja mwingi mbele giza.
Watanzania asilia wakati hata tofali,cement hawajatoa kwenye
Ujenzi wa nyumba hizo

Ova
 
View attachment 2657297

Shida ya watu kama nyie ni kukariri mambo hilo ni moja ya soko maarufu mjini Hong-Kong hilo eneo per square meter ni most expensive duniani. Sio mbali na hayo majengo ni downtown yao sasa yanafanana sasa yanafania ni vitu vilivyoangushwa maeneo ya Financial sector.

Hivi unadhani capital city ya safe heaven as well as legit Financial services ina shortage ya mitaji ya kuvunja hizo dilapidated properties za street markets. Wanayaacha kwa sababu ya kulinda identity ya eneo na tamaduni za watu wao.

Sisi badala ya kutaka kuona kariakoo tunaondoa vibaka iwe sehemu salama ya watalii kuweza kuja kununua vitu vya kitanzania; kama kwingine duniani tunataka kuibadilisha.

Nimekuwekea na article ya kwanini giants supermarkets za west nyingi zilishindwa mainland China; kwanza upewi eneo la uwekezaji wa retail karibu na popular street markets ili kulinda long customs zao.

Embu waafrica acheni ushamba wa kudhani kila kitu lazima kibadilike.

Ukirudi huko kwenye huo mkataba unaotetea subiri hao wafanyabiashara waende mahakamani halafu mkataba udadavuliwe commercially contracts. Ndio utaelewa kwa hiyo notice waliyotoa NHC lazima walipe fidia ni mda mdogo mno; hapo watu wanahitaji si chini ya miaka miwili kuwatoa wenye maduka yao.

Mnatoa mambo vichwani mwenu tu na kubwabwaja as if kwenye hii dunia hakuna kanuni za kuishi na kufanya mambo.
Pole kwa kupewa notice ila njoo uwekeze huku chanika , fremu bei chee tu hata laki moja haifiki.Sio lazima mjazane hapo city center
 
Wafanyabiashara wa maduka kutoka soko la Kariakoo wamefika makao makuu na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupinga notice walizopewa na shirika hilo kwa kuwataka kuhama ndani ya siku 90 kupisha mwekezaji mpya katika eneo hilo.

Wafanyabiashara hao wamesema, wao hawapingi maendeleo lakini muda uliotolewa na NHC ni mfupi sana na wamemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati sakata hilo ili waweze kupata haki yao kwani muda waliopewa ni mfupi sana kwa wao kuhama kutokana wao kuwa na madeni na mikopo.

====

View attachment 2657014
NOTISI YA SIKU TISINI (90) YA KUSITISHA MKATABA WA UPANGAJI WA NYUMBA NA 005 KWENYE KIWANJA NA 23 KITALU NA 31 MTAA WA TANDAMTI NA SWAHILI

Tafadhali husika na somo hapo juu;

Unafahamishwa kuwa Shirika la Nyumba la Taifa limeanza rasmi utekelezaji wa Sera va Ubia na wawekezaji binafsi na taasisi mbalimbali ambayo ilizinduliwa rasmi mwezi Novemba 2022.

Hivyo basi Shirika la Nyumba la Taifa lina mpango wa kuanza ujenzi kwenye Kiwanja tajwa hapo juu ambapo wewe ni mpangaji, hivyo tunakutaarifu kwamba unapewa NOTISI ya siku tisini (90) kuanzia tarche 02/06/2023 mpaka tarehe 31/08/2023 kusitisha mkataba baina yako na Shirika la Nyumba la Taifa kwenye nyumba tajwa hapo juu.

Shirika limerejea kipengele namba 4.1 (c). (d) na 7.2 cha Mkataba wa Upangaji kinachompa mamlaka mpangishaji kuvunja mkataba ndani ya siku tisini (90) pale anapohitaji jengo lake kwa ajili ya matumizi mengine.

Kwa maelezo hayo, unapewa NOTISI ya siku tisini (90) ya kutakiwa kuhama katika nyumba unavoishi ili kupisha uendelezaji unaokusudiwa kufanyika katika kiwanja hicho.

Unaruhusiwa kuomba upangaji upya baada ya jengo jipya kukamilika kulingana na masharti ya kipindi hicho.

Pia soma: Wapangaji nyumba za NHC Kariakoo walalamika notisi za kuhama bila mazungumzo, wadai NHC wamempa dili mwekezaji mpya kimyakimya
Hayo ndo majibu ya serikali dhidi ya ule mgomo

Wanatafutiwa angle waumie

Tanzania hivi sasa ni ugali moto, mchuzi moto
 
We unaongea huna Abc zozote za Biashara kila kitu unaleta siasa.

Kariakoo Majengo ya Wakinga, Wachaga, Waarabu yana ghorofa 5 ama 6 yanabomolewa sababu tu hayana Frame basement watu wanaanza upya.

Serikali inakosa mabilioni ya mapato eti bado frame zao ni laki kadhaa halafu mikubwa unakuta jengo zima lipo mtaaa mzima lina frame hata 10 hazifiki. Na wanaokodi wanauza vitu vya kipuuzi puuzi sababu anajua ata afford kodi, mtu anachukua Frame ya NHC anauza soda na Vitafunwa kama Keki na Biscuit.

Angalia jengo la swahili plaza lile ni ubia wa serikali na Mtu binafsi, Frame ya ndani ni 1.2M serikali inapata,

Hata mtu Binafsi ajenge achukue asilimia 50 bado Serikali itapata Mapato makubwa kuliko huu Upuuzi wa sasa.
Kuna sehemu nyingi za kujenga majengo ya kisasa na mazuri.

Kuna video nimeitafuta ya muda sijaipata wale wazungu walioenda tembelea kariakoo na kuporwa. Hiyo sio sehemu salama kwa sasa.

Lakini ikiboreshwa kwenye ulinzi hivyo hivyo ni kitengo cha utalii. Hawa wageni hawana shida ya kwenda malls kwao zipo za kumwaga kila kona. Ila street markets ni sehemu ya utalii sehemu kubwa duniani pia.

Sio kila kitu lazima ukibadili, halafu msukumo wa NHC ni kwa sababu ya eneo kuwa prime areas; lakini hawajali historia ya sehemu kubaki kama ilivyo.

Forodhani Zanzibar zamani ilikuwa ya wenyeji tu, sasa ni moja ya sehemu must see kwa watalii.

Embu tuache huu ushamba wa kuona eneo likiwa na maslahi tu basi livunjwe.
 
Katika hili nadhani serikali itumie tu busara na huruma kwa kuwapa hata notisi ya mwaka mmoja wahame. Wafanyabiashara wengi wana mikopo ambayo hadi wauze ndo wapate rejesho. Katika huo mwaka wanaweza kujiandaa na kuwapanga wateja wao waende kwenye ofisi zao zingine. Kwa upande mwingine ni funzo kwa wafanyabiashara vilaza wanaodharau elimu na kudhani ukiwa na hela ndo kila kitu. Serikali hapo ikiamua isisikilize mtu tayari hao jamaa ni kilio kwasababu NHC kisheria wako sawa.
Hakuna kuchelewesha mambo

Mtanzania umpe mwaka mmoja si

Mradi utapotelea hewani,jambo kama

Likianza lianze

Ova
 
Wakavunje Michenzani Zanzibar kuna majengo nayo yamechoka mbaya na yakizamani; na wapangaji ZHC wanamikataba kama hiyo.

Zanzibar inapokea watalii wengi sana wakijenga nyumba mpya za kisasa na gated community; awawezi kukosa wazungu wakuwapangisha kama holiday let mwaka mzima kwa hela nyingi sana za kigeni.

Point hapo ni kwamba hela ina mipaka uwezi ku disrupt maisha ya watu kisa eneo unadhani linathamani zaidi; na wala huna alternative ya kuwapeleka watu unaowatoa kwenda kwingine huo ni unyanyasaji.

Kariakoo pia Kuna wapemba kibao
Lakini aliyelia na mama samia si mpemba ni mdanganyika
 
Wafanyabiashara wa maduka kutoka soko la Kariakoo wamefika makao makuu na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupinga notice walizopewa na shirika hilo kwa kuwataka kuhama ndani ya siku 90 kupisha mwekezaji mpya katika eneo hilo.

Wafanyabiashara hao wamesema, wao hawapingi maendeleo lakini muda uliotolewa na NHC ni mfupi sana na wamemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati sakata hilo ili waweze kupata haki yao kwani muda waliopewa ni mfupi sana kwa wao kuhama kutokana wao kuwa na madeni na mikopo.

====

View attachment 2657014
NOTISI YA SIKU TISINI (90) YA KUSITISHA MKATABA WA UPANGAJI WA NYUMBA NA 005 KWENYE KIWANJA NA 23 KITALU NA 31 MTAA WA TANDAMTI NA SWAHILI

Tafadhali husika na somo hapo juu;

Unafahamishwa kuwa Shirika la Nyumba la Taifa limeanza rasmi utekelezaji wa Sera va Ubia na wawekezaji binafsi na taasisi mbalimbali ambayo ilizinduliwa rasmi mwezi Novemba 2022.

Hivyo basi Shirika la Nyumba la Taifa lina mpango wa kuanza ujenzi kwenye Kiwanja tajwa hapo juu ambapo wewe ni mpangaji, hivyo tunakutaarifu kwamba unapewa NOTISI ya siku tisini (90) kuanzia tarche 02/06/2023 mpaka tarehe 31/08/2023 kusitisha mkataba baina yako na Shirika la Nyumba la Taifa kwenye nyumba tajwa hapo juu.

Shirika limerejea kipengele namba 4.1 (c). (d) na 7.2 cha Mkataba wa Upangaji kinachompa mamlaka mpangishaji kuvunja mkataba ndani ya siku tisini (90) pale anapohitaji jengo lake kwa ajili ya matumizi mengine.

Kwa maelezo hayo, unapewa NOTISI ya siku tisini (90) ya kutakiwa kuhama katika nyumba unavoishi ili kupisha uendelezaji unaokusudiwa kufanyika katika kiwanja hicho.

Unaruhusiwa kuomba upangaji upya baada ya jengo jipya kukamilika kulingana na masharti ya kipindi hicho.

Pia soma: Wapangaji nyumba za NHC Kariakoo walalamika notisi za kuhama bila mazungumzo, wadai NHC wamempa dili mwekezaji mpya kimyakimya
hawa watu wamezoeashwa sana, nyumba sio za kwao, ni za NHC, wenye nyumba wamewapa notice ili wajiandae hawajashitukizwa. wanatakiwa wafukuzwe ili hayo majengo 14 yavunjwe na hao wakorofi wasipate tena nafasi ya kupanga. wanasumbua. NHC boresheni nyumba zenu ili shirika liendelee kujiendesha kibiashara.
 
huyo mama anasema ana miaka 60 kwenye nyumba za NHC, miaka yote hajawapa watanzania wenzake wapange, na bado analeta jeuri anaamini hapo ni nyumbani kwake. sweken kabisa. anasema anaonewa, anasema ataenda wapi akifukuzwa, miaka 60 ameishi hapo hadi ameona kama ni kwake. NHC ijifunze, isipangishe mtu mmoja miaka yote hiyo, wanasahau kujenga na wanaamini hapo ndio wamefika ni pao.
 
Back
Top Bottom