jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Namba simuKwa habari ya flash na memory cards OG na copy nichek Mkuu, hapo Likoma Sina mpinzani kuanzia wachina mpaka Waswahili
Flash imation na SanDisk -4gb5000
8gb6000
16gb6500
32gb7500 bei za jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards SanDisk na Microdigit 2gb 4000
4gb4500
8gb6000
16gb6500
32gb7500
Hiyo ni jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards copy zenye cover ni 2100,zisizo na packing 1800 ,hiyo ni kuanzia 100pcs
Ulipata namba yake?Namba simu
Ninatafuta chimbo la vitenge kwa bei ya jumla, kwa anayejua ninaomba anisaidie nipo Dar. Nilipita kitumbini kwenye yale maduka yanayotazamana na barabara ya Uhuru bei walizonitajia inazidi kidogo bei ya kariakoo. Ikabidi nirudi kariakoo kuchukua piece kadhaa nilizokuwa nahitaji.
Kuna corona tena hukoNenda china [emoji630] mkuu
Ahsante kwa ushauri wako mkuu. Kwa mtazamo wangu safari ya China inabidi mtu uwe na uwezo wa kuchukua mzigo mkubwa. Kwenda China wakati mzigo ninaochukua ni piece 100 hapo nitakuwa nimecheza pata potea.Nenda china [emoji630] mkuu
Mkuu nani kakudanganya mpaka uwe na mihela mingiii achana na hayo mawazoAhsante kwa ushauri wako mkuu. Kwa mtazamo wangu safari ya China inabidi mtu uwe na uwezo wa kuchukua mzigo mkubwa. Kwenda China wakati mzigo ninaochukua ni piece 100 hapo nitakuwa nimecheza pata potea.
Ninatafuta chimbo la vitenge kwa bei ya jumla, kwa anayejua ninaomba anisaidie nipo Dar. Nilipita kitumbini kwenye yale maduka yanayotazamana na barabara ya Uhuru bei walizonitajia inazidi kidogo bei ya kariakoo. Ikabidi nirudi kariakoo kuchukua piece kadhaa nilizokuwa nahitaji.
Ahsante kwa ushauri mkuu, leo nimepita mitaa hiyo kuna duka moja nimeona wana bei nafuu. Pia nitatafuta mtu ambaye yupo Uganda, ili nijue bei zao zinacheza ngapi.Vitenge ni pale mnazi mmoja ile njia ya kuingia posta. Wale wahindi watakuuzia vitenge vizuri. Ata kariakoo utapata ila bei ya mswahili na mswahili unamfahamu vizuri.
Unaweza chagua kwenda chukulia uganda, rwanda kama unaona china mbali
nishaipewa live location pale agrey na likoma nimefika pale location inasema lakini ajabu sioni hilo duka mpaka nikaahirisha
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
Baadhi ya majibu/maelekezo ya wadau:
jaman naomba kujua chimbo la toys, biscuits, chocolate na pipi kwa hpa DARJukwaa zuri
Ulizia Akiba Bank ipo barabara ya uhuruWapi napata chimbo la macover ya cd,mitaa gani ama kama kuna mtu anafanya hio biashara tuwasiliane
Kariakoo hiii kibao sokon humo ingia ndani ndani bei cheeeeeNatafuta chimbo la masai shuka kwa bei ya jumla.View attachment 2207229