Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kwa habari ya flash na memory cards OG na copy nichek Mkuu, hapo Likoma Sina mpinzani kuanzia wachina mpaka Waswahili
Flash imation na SanDisk -4gb5000
8gb6000
16gb6500
32gb7500 bei za jumla kuanzia 10pcs kila size

Memory cards SanDisk na Microdigit 2gb 4000
4gb4500
8gb6000
16gb6500
32gb7500
Hiyo ni jumla kuanzia 10pcs kila size
Memory cards copy zenye cover ni 2100,zisizo na packing 1800 ,hiyo ni kuanzia 100pcs
Namba simu
 
Ninatafuta chimbo la vitenge kwa bei ya jumla, kwa anayejua ninaomba anisaidie nipo Dar. Nilipita kitumbini kwenye yale maduka yanayotazamana na barabara ya Uhuru bei walizonitajia inazidi kidogo bei ya kariakoo. Ikabidi nirudi kariakoo kuchukua piece kadhaa nilizokuwa nahitaji.
 
Nenda china [emoji630] mkuu
 
Naomba kuelekezwa chimbo la kardet, jeans na tisherts kwa kariakoo
 
Ahsante kwa ushauri wako mkuu. Kwa mtazamo wangu safari ya China inabidi mtu uwe na uwezo wa kuchukua mzigo mkubwa. Kwenda China wakati mzigo ninaochukua ni piece 100 hapo nitakuwa nimecheza pata potea.
Mkuu nani kakudanganya mpaka uwe na mihela mingiii achana na hayo mawazo
 
Ninatafuta chimbo la vitenge kwa bei ya jumla, kwa anayejua ninaomba anisaidie nipo Dar. Nilipita kitumbini kwenye yale maduka yanayotazamana na barabara ya Uhuru bei walizonitajia inazidi kidogo bei ya kariakoo. Ikabidi nirudi kariakoo kuchukua piece kadhaa nilizokuwa nahitaji.

Vitenge ni pale mnazi mmoja ile njia ya kuingia posta. Wale wahindi watakuuzia vitenge vizuri. Ata kariakoo utapata ila bei ya mswahili na mswahili unamfahamu vizuri.

Unaweza chagua kwenda chukulia uganda, rwanda kama unaona china mbali
 
Ahsante kwa ushauri mkuu, leo nimepita mitaa hiyo kuna duka moja nimeona wana bei nafuu. Pia nitatafuta mtu ambaye yupo Uganda, ili nijue bei zao zinacheza ngapi.
 
Wadau za sahv mwenye kujua yanapopatikana makapeti haya ya kawaida sio Yale ya manyoja nataka kununua Kwa jumla naomba msaada
 
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.

Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.

Baadhi ya majibu/maelekezo ya wadau:
nishaipewa live location pale agrey na likoma nimefika pale location inasema lakini ajabu sioni hilo duka mpaka nikaahirisha
 
mwenye kujua chimbo zuri la vifaa vya umeme, bei ya julmla nzuri. nataka kufungua duka la vifaa vya umeme mkoani
 
Wapi napata chimbo la macover ya cd,mitaa gani ama kama kuna mtu anafanya hio biashara tuwasiliane
 
Naomba kuelekezwa maduka ya wachina yanapopatikana yanayouza viatu vya kike jijini dar er salaam
 
Natafuta chimbo la masai shuka kwa bei ya jumla.
images%20(7).jpg
 
Back
Top Bottom