Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Bro. Inabidi nami unipe chimbo la mazaga zaga nitakushukuru sana ndugu
 
Vipi kampuni yenu iliishia wapi
 
Namba za simu?
 
Habari wakuu
Naomba kufahamu chimbo la kupata mabirika yale ya aluminium ya kuchemshia chai au kahawa

 
Mambo vipi waheshimiwa...zinahitajika 100pc kwa ajili ya watoto wa shule za msingi anaeuza au anejua mahsli panapouzwa naomba anisaidiee...nikipata kwa dar au Mwanza itapendeza zaidi
 
Naomba kujua ni kariakoo shimoni ni mtaa upi na kunapatikana bidhaaa Gani huko?
 
Blenda

Kenwood
Bei : 120000

Star Strong
Bei :85000

Vilevile kuna Air Frier zile za kuchomea chipsi bila kutumia mafuta pia zipo

Location : Kigamboni na chuo DMI Posta

Mawasiliano: 0658825054
 
Vitochi vya Itel na Tecno kwa bej ya kuuza jumla
 
Wauzaji wa vitambaa bei ya jumla wajitokeze na sample zao zile za kisasa na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…