Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Mkuu naomba unipe baadhi ya biashara za kufuata China
 
Mimi nauza ndala kutoka China ndala kali na bei ni kitonga mikoani tunatuma
Zipo za kitoto za kike na kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…