kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!
Hili nalo ni nenoMkuu siyo wachoyo Ila wapo wanatafuta kwa ajili ya maisha yao.Just imagine mtu kaja kibiashara,then we uache kazi zako uanze kumtembeza free wakati ye anamake money?
Asante Hornet.Huwa nachukua kwa mchina mmoja pale agrey street karibu na Belinda au ofice za simba coach ana bei poa vitu poa
Quality ni poaAsante Hornet.
Vipi quality zake? Na waleti pia anazo?
Nenda Tiptop pale mpaka Manzese.Nahitaji hizi bidhaa bei ya jumla
Nipo mkoani nikipata wakutuma itakuwa poa nikipata namba za wauzaji hao itakuwa poa tuwe tunafanya biashara mimi nakosa mda wakuja huko kwa sasa.Nenda tiptop pale mpaka Manzese.
Ningekusaidia mkuu ila mpaka next week ndo narudi mjini.Nipo mkoani nikipata wakutuma itakuwa poa nikipata namba za wauzaji hao itakuwa poa tuwe tunafanya biashara mimi nakosa mda wakuja huko kwa sasa
Mkuu ni DM tufanye biashaa mkuuu.Nipo mkoani nikipata wakutuma itakuwa poa nikipata namba za wauzaji hao itakuwa poa tuwe tunafanya biashara mimi nakosa mda wakuja huko kwa sasa
Poa poaNingekusaidia mkuu ila mpaka next week ndo narudi mjini.
Kama utavumilia nikija nitakufanyia utaratibu.
Nimekudm haujibuMkuu ni DM tufanye biashaa mkuuu.
Wewe dada popote ulipo naomba tuwasilianeNgoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Wakijibu ni tagNaomba kujuzwa chimbo la nguo za mitumba (first class) na bei zake
Poa poa, ngoja tuwasubirieWakijibu ni tag