Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

UKITAKA UFANIKIWE HAPA NI NYIE KUNUNUA KWA HELA YENU HAKUNA MTU ATAWATUMIA HELA
Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!
 
Nahitaji hizi bidhaa bei ya jumla
 

Attachments

  • images (12).jpg
    images (12).jpg
    7.2 KB · Views: 253
  • download (11).jpg
    download (11).jpg
    3.1 KB · Views: 256
  • download (10).jpg
    download (10).jpg
    11.7 KB · Views: 245
  • download (9).jpg
    download (9).jpg
    14 KB · Views: 242
  • download (8).jpg
    download (8).jpg
    10.5 KB · Views: 226
  • New-Cheap-Mobile-Phone-with-Windmill-Toy.jpg_640x640.jpg_.webp.png
    New-Cheap-Mobile-Phone-with-Windmill-Toy.jpg_640x640.jpg_.webp.png
    212.4 KB · Views: 251
  • Cheap-animal-shape-plastic-comb-candy-toys.jpg_100x100.jpg
    Cheap-animal-shape-plastic-comb-candy-toys.jpg_100x100.jpg
    9.5 KB · Views: 248
Kwa anaye fahamu sehemu wanaupouza vifaa vya stationary kwa bei rahisi naomba anisaidie
 
Nipo mkoani nikipata wakutuma itakuwa poa nikipata namba za wauzaji hao itakuwa poa tuwe tunafanya biashara mimi nakosa mda wakuja huko kwa sasa
Ningekusaidia mkuu ila mpaka next week ndo narudi mjini.
Kama utavumilia nikija nitakufanyia utaratibu.
 
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Wewe dada popote ulipo naomba tuwasiliane
 
Back
Top Bottom