Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Mkuu vipodozi vinapatikana wapi
 
That is very true, vitenge vinauzika mnooo Kenya, wateja wangu wakubwa wa vitenge ni Wakenya. Yaani unaweza kuleta mzigo mkubwa na ukaisha in two days.
Wai huko asasee nawatafuta
 
Sasa umesema k/koo ndo vinachukuliwa vitu,unataka nini tena?
Wenyeji wa dar wasikupeleke k/koo? basi wenyeji wako wachoyo.
Naamini hata hao wenyeji wa Dar kama si wajanja kivile waishia kununua bidhaa kwenye maduka ya barabarani.

ukweli ni kwamba Kariakaa kuna machimbo ambayo hata wenye madox maeneo ya karibu huchukua na kuuza kwa bei ya juu.

Mfano kuna chimbo moja wanauza viatu vya kiume mfano Sebago pale wanauza Tsh 40,000 wakati huo ukipiga hatua mbili upande mwingine same sebago inauzwa 60 na maeneo ya pembezoni ni hadi 100K.

So ni kweli kuna haja ya wadau kujuzana machimbo.
 
Miwani za tiba, hao waha wapo wapi
 
Nimefaidika sana kwa Maelezo yako japo mtaji sina be blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…