Unapatikana wapi na bei yako vip?Nina mzigo wa jumla wa viatu simple gunia moja ntauuza kwa bei nafuu ni pm
Napatikana dar bei ni PMUnapatikana wapi na bei yako ni gani?
Ukifuatilia thread za nyuma walishataja eneo zinakopatikanaNaomba kufahamu wanapo uza nguo za ndani za kike nzuri kwa jumla
Mi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi,siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona.Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka,vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia.Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hats bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Wanau chupa za chaiNahitaji kujua safinet hapo dar. wapo wapi?
Naomba ukijibiwa unitagNaitaji kujua sehemu ya kununua materials za kutengenezea sabuni za maji na shampoo ....
2000 bei ya rejereja K/kooEarphones za jumla nimeambiwa kariakoo ni bei cheap mpaka 2000 unapata zile ambazo mkoani zinauzwa ghali mno hii ni kweli???
Ningepata muuzaji mwaminifu ingependeza zaidi2000 bei ya rejereja k/koo
Na mtaa wa lindi piaKama ni Used vifaa vinapatikana karibu na stand ya mwendokasi gerezani..but kwa original ni mtaa wa msimbaz ukitokea fire...ila kwa hapa sijui chimbo lake exactly maana vifaa vya magari viko very complicated but kama ulikua ujui kabsa wanapouzia unaweza kucheki hayo maeneo niliyokutajia
Hizi earphone za 2000... Ni zile baada ya mda zina katika. Kuna za book jero, buku tatu, buku nne na kuendelea. Huwezi pata ofia kwa book mbili au nec au Samsung; wewe upo wapi nicheki kwa namba hii 0754660061Earphones za jumla nimeambiwa kariakoo ni bei cheap mpaka 2000 unapata zile ambazo mkoani zinauzwa ghali mno hii ni kweli???
Ndio utaratibu ulivyo boss.Natafuta chimbo la hardmaterial ya ujenz kama koleo,sururu,majembe,slesha,shoka n.k nmeangaika week nzma apa karkoo kila ninapooingia nagongana na bei za mkoan kwetu jana nmefanikiwa kuingia goodone lakn nmeambulia maumivu tu wanataka nichukue mzgo kuanzia 5m ...nmekimbia ! tafadhal mwenye uelewa wa hili swala ata kama n out na karkoo nitafata mali
Watanzania wengi tungekuwa kama wewe mbona tungefika mbali, mwenzio akiwa na hali mbaya unafaidika na nini,hongera sana mkuu,we kweli Bongo bahati mbaya.Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Dunia ya leo usipokuwa mwaminifu kwenye biashara utasubiri sanaKwa ujumla wafanya biashara wa Dar ni waaminifu sana na niwakalimu kuliko sisi wa mikoani maana ukituma pesa ikatokea mzigo uloagiza pesa imebaki utashangaa unapigiwa sm nakuambiwa pesa imebaki kias flani uamuz unabaki kwako uludishiwe au uongeze mzigo ,mm hii imetokea Mara kibao laki wauzaji wa jumla uku mikoan usishangae anakuibia ukiwa dukani kwake, Hongera zenu wauzaji wa jumla was Dar.