Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Nenda maduka yalio zunguka DDC kuna duka moja lina saa za kutosha pia kkoo siku iz yamefunguliwa maduka mengi ya saa kama wewe n mtembez utayaona mengi

True that, hata mimi nilishaliona hili duka tajwa, jina la mtaa sikumbuki but liko maeneo hayo aliyoelekeza harder king
 
Nenda maduka yalio zunguka DDC kuna duka moja lina saa za kutosha pia kkoo siku iz yamefunguliwa maduka mengi ya saa kama wewe n mtembez utayaona mengi
Jibu limejitosheleza wala haitaj kuuliza kingine na kumsaidia saa zipo mpk za sh 900 kwa jumla
 
Umeenda mtaa wa gerezani?maana huko ndo material zote za ujenz kama tiles..alluminium poles..rangi..vifaa vya mabomba yote yapo huko!uliza watu wakuelekeze.
Asante !kutembea kujifunza kuna sehem nilikwamia nikanunua mzgo but hope nimejfunza ktu next tym hasira ztaongezeka maradufu tafika mbali zaidi.
 
Asanteni kwa Uzi murua na matata sana.Nina swali ili niweze kufungua duka la kisasa kabisa lenye nguo za kike na kiume zenye quality nzuri niwe na mtaji wa shilling ngap?
 
It seems kuna bidhaa ambazo ni bei nafuu unazipata Nai kuleta Tz... na kuna bidhaa ni bei nafuu unazipata Dar kupeleka Kenya.

Information is Power. Hata kama bado mtu hauna mtaji na una nia ya Biashara, kusanya taarifa sahihi kwanza. Right info! Right info! Right info! kwanza before you jump-in to play the game.

-Kaveli-
Wazungu huita BUSINESS INTELLIGENCE.
 
Hahaha manga aisee huwa naziopoa kwa buku saba bei ya jumla tu nikifika tu nazoa yan na form six kal kwa bei ya jumla buku 11, ambazo kwingne mnauziwa buku 15...kwa waburushi flan iv
Mkuu Nahitaji Chimbo la t-shirt forms na manga. Ni pm Tafadhali.
 
Kwa anaejua chimbo la vifaa vya computer kwa bei chee amwagike hapa,hawa wa maduka ya usoni wanatupiga sana
Computer accessories
Hard drives
Flash drives
Memory cards
Ram
Modems
Network switches, routers, hubs
Cables - > UTP cat 5, cat 6, USB 3.1, printer, power cord, esata, patch cords,
Patch panels.
Mouse.
Keyboards.
Cabinets - > 9U,12U,..... 42U
Cctv cameras., DVR
Etc
Waone 0779786092
 
Back
Top Bottom