Iko hivo mkuu hizi earphone k/koo 2500 na ni jiwe vibaya mnoHizi earphone za 2000... Ni zile baada ya mda zina katika.. Kuna za book jero.. Book tatu.. Book nne na kuendelea.. Huwezi pata ofia kwa book mbili.. Au nec au samsung Wewe upo wapi nicheki kwa namba hii 0754660061
Nakubaliana nawe na maduka yake yapo agrey na likoma i think..karibu na bank ya azania plus flash na phones accessories!wanauza bei rahis mno.Iko hivo mkuu hizi earphone k/koo 2500 na ni jiwe vibaya mnoView attachment 741609
Nakubaliana nawe na maduka yake yapo agrey na likoma i think..karibu na bank ya azania plus flash na phones accessories!wanauza bei rahis mno.
Umeenda mtaa wa Gerezani? maana huko ndo material zote za ujenz kama tiles..alluminium poles..rangi..vifaa vya mabomba yote yapo huko!uliza watu wakuelekeze.Natafuta chimbo la hardmaterial ya ujenz kama koleo,sururu,majembe,slesha,shoka n.k nmeangaika week nzma apa karkoo kila ninapooingia nagongana na bei za mkoan kwetu jana nmefanikiwa kuingia goodone lakn nmeambulia maumivu tu wanataka nichukue mzgo kuanzia 5m ...nmekimbia ! tafadhal mwenye uelewa wa hili swala ata kama n out na karkoo nitafata mali
Kanzu zinauzwa kwa wingi msikiti wa mtoro!yaani katikat ya mtaa wa mchikichi na narung'ombe,Dada nisaidie hivi wapi naweza pata kanzu kwa bei ya jumla,pili saa zile za mikononi za aina mbalimbali,cap zile za sasa na bidhaa za body spray? Ahsanteh
Mtaa wa Muhonda ndo kuna kila aina za nguo za ndani kama sox..tight..boxer za watoto..wanawake bila kusahau wanaume!Naomba kufahamu wanapo uza nguo za ndani za kike nzuri kwa jumla
Kuanzia jins quality..cheap...form six na hizo tshirt za manga wengi wanachukulia kwenye maduka karibia na wanyama hotel kariakoo..yaani hayo maduka yapo kwa ndani ndani unazama huko utapata bei za jumla!hayo maduka yapo kati ya mtaa wa congo na nyamwezi hakikisha unazama ndani ndani siyo nje.Charty bidhaa kama T-shirt za manga au hot basic kwa jumla bei simpo ninaweza kupata maeneo gani mkuu?
Nataka nipate mzigo then niziprint halafu niziingize sokoni..
Tatizo machimbo ya bei rahisi ndo siyafahamu..
Na jeans na raba Pia kama unafahasmu..
Miwani za kibishoo..za kusomea..za frame maduka yake yanapatikana mtaa wa mchikichi karibia na msikiti wa Mtoro pia ukivuka ule mtaa wa livingtone na mchikichi kama unaenda kutokea barabara ya lumumba!wanauza bei za jumla na rahisiii.Miwani za wapi wanauza Jumla, tuelekeze kamanda
Mitaa ya Livingstone na Aggrey!vyombo vya jikoni vya bei chee na quality nzuri wapi vinapatikana?
Doh nashukuru dada wacha nitachimba huko aseeKanzu zinauzwa kwa wingi msikiti wa mtoro!yaani katikat ya mtaa wa mchikichi na narung'ombe,
Saa za mkononi ambazo ni zile english Gold quality kuna wachina wanashusha mtaa wa mchikich kwa ndani ndani ulizia watu watakuonesha ukifika hayo maeneo
Cap za kisasa kuna maduka ya katikat ya congo na msimbazi!yaani karibia na DDC kuna maza mmoja anauza hapo yaani karibia wafanyabiashara wa kofia wote wanaenda kuchukua hapo
Body spray nazo zipo mtaa wa mchikichi sio kwa nje ni kwa ndani unaingia vile vijimtaa utaziona.
Very true Mkuu. Trust is everything, since day one wakati God alipofanya uumbaji wa Binadamu wa kwanzadunia ya leo usipokuwa mwaminifu kwenye biashara utasubiri sana
Be blessed charity. Amani, watu wengi sana waliokuwa na shida za kuanzisa biashara lakini hawajui hizi taarifa umewasaidia sana.Huu uzi umeenda vizuri hadi raha tuendelee kusaidiana tu kuelekezana inapendeza zaidi,samahani niliochelewa kujibu quote zenu!tatizo sikuhizi sipati notifications za jf!!![emoji52]
Namba yako muhimu mkuu.Iko hivo mkuu hizi earphone k/koo 2500 na ni jiwe vibaya mnoView attachment 741609
Charty,Hahhahah sasa wewe mie mkali wa hizi kazi tokea nipo chuo kitamboo nimeivuruga sana hiyo k.koo hahah hadi leo nipo yaani na sibanduki ng'ooo inabidi tuwasaidie wenzetu bana maana haya maisha mtu akikuongezea jero kwenye product ni kubwa sanaaaa.Na hivi vyuma vimekaza acha tu na wenyewe wale.Ila si unajua mjini wasioujua bado wengi utawapata tu maana hawapo humu JF .
Ngoja niwape chimbo la pochi za bei rahisi zile ronya na za kati 6000,8000,12000 lipo maeneo ya nyamwezi karibu na soko la shimoni kale kamtaa cha kati uje utokee msimbazi kota,karibu wanapouza maturubali, lingine lipo mtaa wa congo na aggrey kwa juu ghorofani kama unataka kutoka congo kituo cha basi pale wanauza high quality PU zao 22k,25k,28k,30 nk ambazo ukikuta kwenye botique ni mwendo wa 50k,70k hadi 100k. Pia tena hiyohiyo congo/mchikichi pale katikati kwa ghorofani wanauza pochi eh bei chee tatizo lenu mnapita juu juu tu ingieni maduka ya ndani na chini yana mambo mazuri Wallet nazo mchikichi zipo za kumwaga za kiume na za kike bei chee hakikisha unaingia ndani kabisa kwenye vichochoro. Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh,pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau? Danhappy
Unga na hii (kama utaona inafaa) kwenye thread yako ya mwanzo.Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.