Nenda maduka yalio zunguka DDC kuna duka moja lina saa za kutosha pia kkoo siku iz yamefunguliwa maduka mengi ya saa kama wewe n mtembez utayaona mengi
Jibu limejitosheleza wala haitaj kuuliza kingine na kumsaidia saa zipo mpk za sh 900 kwa jumlaNenda maduka yalio zunguka DDC kuna duka moja lina saa za kutosha pia kkoo siku iz yamefunguliwa maduka mengi ya saa kama wewe n mtembez utayaona mengi
Asante !kutembea kujifunza kuna sehem nilikwamia nikanunua mzgo but hope nimejfunza ktu next tym hasira ztaongezeka maradufu tafika mbali zaidi.Umeenda mtaa wa gerezani?maana huko ndo material zote za ujenz kama tiles..alluminium poles..rangi..vifaa vya mabomba yote yapo huko!uliza watu wakuelekeze.
Pia kuna wale wa mall wanauza saa za urembo za kike, nzuri mno, kuanzia 12,000/- wacheki kwa 0713039875Aisee nashukuru sana
Wacheki Hawa 0779786092Wakuu,
Naomba kuzifahamu chimbo za vifaa vya simu, umeme na electronics.
Kwa bei ya jumla na nafuu zaidi.
Nawasilisha wakuu
Nahitaji Chimbo LA vifaa vya computer na telecommunications huko Nairobi. Please pm.Vyote unavyoviona k/koo vinapatikana nairobi kwa bei chee nakushauri fanya utafiti unapofanya biashara...
Wazungu huita BUSINESS INTELLIGENCE.It seems kuna bidhaa ambazo ni bei nafuu unazipata Nai kuleta Tz... na kuna bidhaa ni bei nafuu unazipata Dar kupeleka Kenya.
Information is Power. Hata kama bado mtu hauna mtaji na una nia ya Biashara, kusanya taarifa sahihi kwanza. Right info! Right info! Right info! kwanza before you jump-in to play the game.
-Kaveli-
Kamata fursa twenzetu. Unangoja nini?Kwa kwel jmn twenzetu tu hakuna namna
Wacheki Hawa Jamaa 0779786092Wakuu vipi Chimbo la electronics devices kmaa Flash hivi na PC kwa hapa dar..??
Samsung wholesaler. Original tu.Naomba link ya simu za bei rahisi kkoo
Mkuu Nahitaji Chimbo la t-shirt forms na manga. Ni pm Tafadhali.Hahaha manga aisee huwa naziopoa kwa buku saba bei ya jumla tu nikifika tu nazoa yan na form six kal kwa bei ya jumla buku 11, ambazo kwingne mnauziwa buku 15...kwa waburushi flan iv
Nenda muhonda na sikukuu.Jamani,mimi pia nahitaji kujua lilipo hili chimbo
10mChina shida ni mtaji mkuu
Kiasi gani unaweza kuanza
Narungombe na LIKOMA.Vitambaa vya kushona kwa k.koo vipo kwa Osama.Ila naweza kukushaur ukanunulie manzese kwani wana bei rahisi sana kuliko k.koo.
Computer accessoriesKwa anaejua chimbo la vifaa vya computer kwa bei chee amwagike hapa,hawa wa maduka ya usoni wanatupiga sana