Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Dada nisaidie hivi wapi naweza pata kanzu kwa bei ya jumla,pili saa zile za mikononi za aina mbalimbali,cap zile za sasa na bidhaa za body spray? Ahsanteh
Saa kuna duka liko line ya DDC pale wana bei reasonable
 
Ubarikiwe sana
 
Kwa anaehitahi viatu simple raba anitafute pm nitauza kwa bei nzuri
 
Mtaa wa Muhonda ndo kuna kila aina za nguo za ndani kama sox..tight..boxer za watoto..wanawake bila kusahau wanaume!
Dada au yeyote anaejua tafadhari! hii saa napata wapi k/koo kwa bei ya jumla acha zile original hii midosho yake sasa.Ahsanteh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…