Beba Network cables, Zina Lipa Sana. Ni pm kwa ufafanuzi.Sijajua nibebe makoro koro gani, maana Dar kuna vurugu ya uchuuzi ile mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beba Network cables, Zina Lipa Sana. Ni pm kwa ufafanuzi.Sijajua nibebe makoro koro gani, maana Dar kuna vurugu ya uchuuzi ile mbaya
Nenda SIDO Pugu Road. Namba zao niWakuu mwenyekujua hizi cup zinapaikana wapi hapo K/Koo
![]()
![]()
Nenda kiwandani ALaf.Wadau nataka kujua misumari haswa ya bati inapatakina wapi kwa kipindi hiki maana bei yake imekua kubwa na haipatikani kirahisi
Unataka kiasi gani?Nahitaji hizi bidhaa bei ya jumla
Mie mitaa sijui ila najua maduka fulani hivi yako kama matatuNaomba kufahamu wanapo uza nguo za ndani za kike nzuri kwa jumla
Livingstone street.Jamani vipi machimbo ya vifaa vya umeme kwa yoyote anae Jua tutahalifiane
Kuna duka la bibi mwarabuNaomba ukijibiwa unitag
Saa kuna duka liko line ya DDC pale wana bei reasonableDada nisaidie hivi wapi naweza pata kanzu kwa bei ya jumla,pili saa zile za mikononi za aina mbalimbali,cap zile za sasa na bidhaa za body spray? Ahsanteh
Ubarikiwe sanaKuanzia jins quality..cheap...form six na hizo tshirt za manga wengi wanachukulia kwenye maduka karibia na wanyama hotel kariakoo..yaani hayo maduka yapo kwa ndani ndani unazama huko utapata bei za jumla!hayo maduka yapo kati ya mtaa wa congo na nyamwezi hakikisha unazama ndani ndani siyo nje.
ShukraniKuna duka la bibi mwarabu
Pale bank ya fnb kuna barabara ya vumbi imenyooka unatembea nayo mpaka ukutane na barabara nyingine ya kukata mtaa utaona kuna maduka mawili matatu yanauza
Ahsanteh dada wanauza jumla? Je alama kubwa ya hilo duka ni ipi?Saa kuna duka liko line ya DDC pale wana bei reasonable
Bei ya jumla unauzaje?Mzigo huo ntafute pm nauza kwa bei nafuu nko darView attachment 746068View attachment 746070View attachment 746072
Dada au yeyote anaejua tafadhari! hii saa napata wapi k/koo kwa bei ya jumla acha zile original hii midosho yake sasa.AhsantehMtaa wa Muhonda ndo kuna kila aina za nguo za ndani kama sox..tight..boxer za watoto..wanawake bila kusahau wanaume!
Ndiyo ni wholesaleAhsanteh dada wanauza jumla? Je alama kubwa ya hilo duka ni ipi?
Namba za simu wengine hawatoi kama wale waarabu wanaogopa utapeli.Ingekuwa mnachukua namba za simu za hayo maduka zingesaidia sana wageni wa Dar wasio na uelewa mkubwa wa hiyo mitaa