Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Ni pm mkuu nikupe mawili matatu!problems solved[emoji23] [emoji23]
Imagine wenzako wote wasingeweka hapa wakawa na wao wanasema tuende pm.

Mtu akikuita PM maana yake anataka akufanyie biashara hana chimbo lolote analojua.

Nashauri kama wewe ni wakuita watu PM uwape information huu uzi si kwa ajili yako. sepaaaaaaa

Huwezi kumwaga hapa kausha, nenda katangaze biashara yako uzi mwingine
 
ngoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy............
Jamani naomba uniunge na mimi nataka kuanza kuuza cheni za english gold toka congo naimani nitapata mwongozo wa nitaupata vipi mzigo
 
Na zinapatikana wapi kwa Wachina. I mean maeneo gani
 
Kuwa specific mkuu,ni mwenyewe natafuta soap base na sijui kama kuna duka linauza hizo vitu hii nchi
Zip maduka kadhaa yamepangana wanaita mtaa wa gerezani nashindwa kutoa ramani sahihi ila physical napafahamu.
 
Wakuu vifaa vya hardware nitapata wap kwa dar bei cheap....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…