Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kodi mpakan imekaaje?
 
Naomba nisaidie contacts za suppliers kama utakua nazo . .
 
Oya JF ni htriii. Kupitia ezi comments zote nimepata na wazo la biashara kweli mjini hauwezi kufa njaa, Yani ukimaliza kusoma thread yote hii una masters kabsa.
 
Wadau kwa anayefahamu wapi naweza pata jola za vitambaa vya suruali anisaidie kunielekeza please.
 
Wakuu hivi kariakoo unaweza kuuziwa maviatu mabovu yanabanduka Siku mbili mteja akivaa dah hii changamoto tena wanakuuzia elfu kumi na moja jumlà Vya kike
 
Dah kesho lazima nirudishe yaani nimechukua kwa jumla yanawabandukia wateja siku mbili nimeumia
Pole mkuu, mimi nilifikiri umetania! Tatizo viatu vingine vinakuwa vimekaa muda mrefu .....Mwanangu aliletea zawadi na mamake mkubwa kiatu kikamyeyukia tukiwa Hosptali Muhimbili...ilibidi nimwambie akae hapo koridoni nikamletee ndala yeboyebo chapchap ...nje ya Hospitali!
 
Dah, kweli nimesikitika halafu mteja kavaa karudisha yaani hasara halafu risiti wagumu kutoa.
 
Wapi napata mabalo ya mitumba ya viatu vya kiume grade A.

Nikipata na bei yake itakuwa vizuri zaidi.
 
Mmmmmh yaani niwatumie hela ndo mtume Mzigo? Labda Mzigo ufike kwangu ndo nalipa.
 
Vipodozi jee navipata chimbo gani wakuu?
 
Habar wakuu, samahan mwenye kujua wap chimbo la mashine za carwash kuanzia zile za umeme hadi za kutumia mafuta.
 
Mkuu hii ulifanya ni intelligence ya hali ya juu sana.
Haaaa! Kumbuka kipindi hicho ndo nimemaliza chuo nipo Dar ajira ngumu.Lazima mfumo wa akili uliojificha ufanye kazi.Ndio maana waliojiajiri wengi wanatengeneza pesa nzuri kwa Mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…