falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au na yeye Mgeni mbahili sanaSasa umesema k/koo ndo vinachukuliwa vitu,unataka nini tena?
Wenyeji wa dar wasikupeleke k/koo? basi wenyeji wako wachoyo.
Kodi mpakan imekaaje?Shea butter inapatikana west africa (Ghana) na East africa (Uganda) kule ndo inapatikana shea trees ambapo kutokea hapo ndo tunapata Shea nuts and then shea butter so wengi wanaouza hapa Tz huwa wanaagiza huko bei ya jumla kwa Ghana ni 10usd per kg na kwa Uganda nilichukua kwa 450,000ugx kwa ndoo ya ltr 20 (hapa gharama inaweza kutofautiana inategemea na supplier wako)napendelea kuchukua Uganda coz gharama ya usafir sio kubwa haizidi 30k halafu Shea butter ya ug ni laini sana tofauti na ya Ghana ingawa zote zina faida ileile kwa ngozi.kusafirisha kutoka Ghana lazima utumie dhl bei zao kubwa sana,lakin kutokea ug huwa natumia bus (friends) napata mzigo wangu bila usumbufu.
Sijawahi kuambiwa suala LA kodiKodi mpakan imekaaje?
Shea butter inapatikana west africa (Ghana) na East africa (Uganda) kule ndo inapatikana shea trees ambapo kutokea hapo ndo tunapata Shea nuts and then shea butter so wengi wanaouza hapa Tz huwa wanaagiza huko bei ya jumla kwa Ghana ni 10usd per kg na kwa Uganda nilichukua kwa 450,000ugx kwa ndoo ya ltr 20 (hapa gharama inaweza kutofautiana inategemea na supplier wako)napendelea kuchukua Uganda coz gharama ya usafir sio kubwa haizidi 30k halafu Shea butter ya ug ni laini sana tofauti na ya Ghana ingawa zote zina faida ileile kwa ngozi.kusafirisha kutoka Ghana lazima utumie dhl bei zao kubwa sana,lakin kutokea ug huwa natumia bus (friends) napata mzigo wangu bila usumbufu.
Ndio kama hujitambui!Wakuu hivi kariakoo unaweza kuuziwa maviatu mabovu yanabanduka Siku mbili mteja akivaa dah hii changamoto tena wanakuuzia elfu kumi na moja jumlà Vya kike
Dah kesho lazima nirudishe yaani nimechukua kwa jumla yanawabandukia wateja siku mbili nimeumia.Ndio kama hujitambui!
Pole mkuu, mimi nilifikiri umetania! Tatizo viatu vingine vinakuwa vimekaa muda mrefu .....Mwanangu aliletea zawadi na mamake mkubwa kiatu kikamyeyukia tukiwa Hosptali Muhimbili...ilibidi nimwambie akae hapo koridoni nikamletee ndala yeboyebo chapchap ...nje ya Hospitali!Dah kesho lazima nirudishe yaani nimechukua kwa jumla yanawabandukia wateja siku mbili nimeumia
Dah, kweli nimesikitika halafu mteja kavaa karudisha yaani hasara halafu risiti wagumu kutoa.Pole mkuu, mimi nilifikiri umetania! Tatizo viatu vingine vinakuwa vimekaa muda mrefu .....Mwanangu aliletea zawadi na mamake mkubwa kiatu kikamyeyukia tukiwa Hosptali Muhimbili...ilibidi nimwambie akae hapo koridoni nikamletee ndala yeboyebo chapchap nje ya Hospitali!
bado unasubiri hadi leo[emoji23]
Kama umempta nistue na mm mkuuHodi humu ndani . Naomben anaye fanya biashara kutoka kariakoo kwenda kuuza zAmbia au nchi yoyote jirani aje tuelekezane dm
Mmmmmh yaani niwatumie hela ndo mtume Mzigo? Labda Mzigo ufike kwangu ndo nalipa.Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!
Haaaa! Kumbuka kipindi hicho ndo nimemaliza chuo nipo Dar ajira ngumu.Lazima mfumo wa akili uliojificha ufanye kazi.Ndio maana waliojiajiri wengi wanatengeneza pesa nzuri kwa Mwaka.Mkuu hii ulifanya ni intelligence ya hali ya juu sana.