Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa


Samahani naweza kupata chimbo zuri la jeans za kiume
 
Habari wadau katika harakati za maisha nimeamua nianzishe biashara ya kuuza jeans kali za kiume
Je naweza pata wapi chimbo zuri la hizo nguo kwa kariakoo
 
Hongera sana mkuu kama upo dar kwanini usiende kariakoo wewe mwenyewe..nenda aggrey mimi huko dar ni mshamba tu
 
Da Charty Naomba Nikucheck WhatsApp kwa namba hii 0785074040 please
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na zinapo patikana spear za simu kama vioo touch, memory card na cover kwa bei ya jumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…