Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Jengo la Wakongo na Wazambia.Wapi napata jeans kwa jumla kkoo
Zipo jeans za 5000 huku uraiani zinauzwa mpaka 20,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jengo la Wakongo na Wazambia.Wapi napata jeans kwa jumla kkoo
Lipo wapi hili jengo kiongoziJengo la wakongo na wazambia.
Zipo jeans za 5000 huku uraiani zinauzwa mpaka 20,000
Duh,mpaka ma Prof mnajua neno chimbo!???Habari za humu wana jf
Kwa wenyeji wa kariakoo naombeni kujua machimbo ya vyombo vya nyumbani kwa bei nzuri.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,mpaka ma Prof mnajua neno chimbo!???
Mkuu nakupa chimbo moja tam sana la Vyombo vya ndani, hakika hutojuta! ni vitu unique vizuri na ni bei rahisi, hakika utanishukuru kwa kukuambia hili chimbo, angalia hizo picha uone utamu wake!Habari za humu wana jf
Kwa wenyeji wa kariakoo naombeni kujua machimbo ya vyombo vya nyumbani kwa bei nzuri.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
ukifika mtaa wa Congo km unatokea msimbaz, mwisho kabisa mwa Congo kunja kushoto ambaa na huo mtaa(Aggrey) hadi ukikuta msikiti then kuna makutano ya Sikukuu street huko kote ni danguro la vyombo,ukikutana na mchina anaongea kimakonde huko usishangaeHabari za humu wana jf
Kwa wenyeji wa kariakoo naombeni kujua machimbo ya vyombo vya nyumbani kwa bei nzuri.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha, kwamba mchina anaongea kimakondeukifika mtaa wa Congo km unatokea msimbaz, mwisho kabisa mwa Congo kunja kushoto ambaa na huo mtaa(Aggrey) hadi ukikuta msikiti then kuna makutano ya Sikukuu street huko kote ni danguro la vyombo,ukikutana na mchina anaongea kimakonde huko usishangae