Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Msalimie shemeji yangukila la heri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie shemeji yangukila la heri mkuu
MashaAllah, hizi za Udongo au mfupa?being gani ,nataka nami nikipita pita niokote
haya mkuuMsalimie shemeji yangu
Ukifika dar we mwambie mtu akupeleke msikiti wa Qiblatein ndo mtaa wa vyombo vyote.Unajuwa mtu kama katoka shamba ukimwambia sijuwi mtaa wa congo na agrey inamchanganya sana kwa sabab mitaa ile ni mirefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaacha kutumia microwave.😊😊 ht kwa microwave pia zafaa
kulikoniNilishaacha kutumia microwave.
Ninaamini ina madhara yanayotokana na radiationkulikoni
oohh sawa...je chupa za chai (thermos)nazo unatumia?Ninaamini ina madhara yanayotokana na radiation
Mie napajua cello kwenye duka Lao la kariakoo wana bei nzuri na vitu quality
Ubarikiwe tena na tena!Mie napajua cello kwenye duka Lao la kariakoo wana bei nzuri na vitu quality
Wapo mtaa gani diaMie napajua cello kwenye duka Lao la kariakoo wana bei nzuri na vitu quality
Naweza nikapata mikoba kam hio sehem gan kkoo kwa bei nafuu mn kuna watu wanabei mbaya sana.Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
Mkuu anazo dizain hz ??me naztk hz kwa jumla yn kun mtu anabei kubwa sn jumla 35000View attachment 1014004Huwa nachukua kwa mchina mmoja pale agrey street karibu na Belinda au ofice za simba coach ana bei poa vitu poa