Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
hahahahaa wapo wengi sanaha ha ha, kwamba mchina anaongea kimakonde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaa wapo wengi sanaha ha ha, kwamba mchina anaongea kimakonde
chimboMkuu nakupa chimbo moja tam sana la Vyombo vya ndani, hakika hutojuta! ni vitu unique vizuri na ni bei rahisi, hakika utanishukuru kwa kukuambia hili chimbo, angalia hizo picha uone utamu wake!
Yani mkuu kama unaenda na dala dala pale basi weka pesa ya nauli pembeni, laa sivyo utaondoka umeacha pesa yako yote pale kwa ubora wa vyomboView attachment 1004398View attachment 1004399View attachment 1004400View attachment 1004401View attachment 1004402View attachment 1004403View attachment 1004404View attachment 1004405View attachment 1004406View attachment 1004408View attachment 1004409View attachment 1004410View attachment 1004411View attachment 1004412View attachment 1004413View attachment 1004414View attachment 1004415View attachment 1004416View attachment 1004417
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaYaan kwakweli kuna vyombo vizuri sana kkoo nw...yaan vitamu kweli kweli kuna sahan nimenunua😊 naona sizitendei haki ht kulia wali😊
😊😊mkuu ni sahani tamu😊 nikiziangalia najihis kiromantic hv..😊Hahahaha
If possible picture please na mimi nikamnunulie wifi😊😊mkuu ni sahani tamu😊 nikiziangalia najihis kiromantic hv..😊
ukifika mtaa wa Congo km unatokea msimbaz, mwisho kabisa mwa Congo kunja kushoto ambaa na huo mtaa(Aggrey) hadi ukikuta msikiti then kuna makutano ya Sikukuu street huko kote ni danguro la vyombo,ukikutana na mchina anaongea kimakonde huko usishangae
haya mkuuIf possible picture please na mimi nikamnunulie wifi
Dah kweli mkuu ngoja nichukue hizi picha nifanye reference nikienda kununua, nimezitamaniView attachment 1005953View attachment 1005957View attachment 1005959View attachment 1005960hii ndo inanifanya niwaze nailia msos gan😊View attachment 1005960
Picha, acha uchoyo basiiiiYaan kwakweli kuna vyombo vizuri sana kkoo nw...yaan vitamu kweli kweli kuna sahan nimenunua😊 naona sizitendei haki ht kulia wali😊
Aaaah kumbe uliweka? Tamu sanaaaView attachment 1005953View attachment 1005957View attachment 1005959View attachment 1005960hii ndo inanifanya niwaze nailia msos gan😊View attachment 1005960
Tamu sana aisee[emoji39][emoji39] utaniletea zawadi kwenye harusi yanguView attachment 1005953View attachment 1005957View attachment 1005959View attachment 1005960hii ndo inanifanya niwaze nailia msos gan[emoji4]View attachment 1005960
Tamu sana aisee[emoji39][emoji39] utaniletea zawadi kwenye harusi yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
😊Aaaah kumbe uliweka? Tamu sanaaa
😊😊 ht kwa microwave pia zafaaPicha, acha uchoyo basiiii
MashaAllah, hizi za Udongo au mfupa?being gani ,nataka nami nikipita pita niokoteView attachment 1005953View attachment 1005957View attachment 1005959View attachment 1005960hii ndo inanifanya niwaze nailia msos gan😊View attachment 1005960
kila la heri mkuuDah kweli mkuu ngoja nichukue hizi picha nifanye reference nikienda kununua, nimezitamani