Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Habari za humu wana jf

Kwa wenyeji wa kariakoo naombeni kujua machimbo ya vyombo vya nyumbani kwa bei nzuri.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakupa chimbo moja tam sana la Vyombo vya ndani, hakika hutojuta! ni vitu unique vizuri na ni bei rahisi, hakika utanishukuru kwa kukuambia hili chimbo, angalia hizo picha uone utamu wake!

Yani mkuu kama unaenda na dala dala pale basi weka pesa ya nauli pembeni, laa sivyo utaondoka umeacha pesa yako yote pale kwa ubora wa vyombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20190125-141912_Instagram.jpeg
    67.3 KB · Views: 65
Habari za humu wana jf

Kwa wenyeji wa kariakoo naombeni kujua machimbo ya vyombo vya nyumbani kwa bei nzuri.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
ukifika mtaa wa Congo km unatokea msimbaz, mwisho kabisa mwa Congo kunja kushoto ambaa na huo mtaa(Aggrey) hadi ukikuta msikiti then kuna makutano ya Sikukuu street huko kote ni danguro la vyombo,ukikutana na mchina anaongea kimakonde huko usishangae
 
ha ha ha, kwamba mchina anaongea kimakonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…