Mkuu direction ya hilo chimbo tafadhaliJengo la wakongo na wazambia.
Zipo jeans za 5000 huku uraiani zinauzwa mpaka 20,000
Ok ntakuchek tufanye biasharaWanaotaka bidhaa za jumla ni natuma kutoka China Guangzhou
+8618857052304
Sijui nikuelekezeje.Mkuu direction ya hilo chimbo tafadhali
Shukrani mkuuSijui nikuelekezeje.
Ila ni pembeni ya ule msikiti wa pale katikati ya maghorofa wanakouza madera.
Msikiti umepakwa rangi ya pink sijui maziwa ile.
Kwa pembeni sasa kuna maduka kama unaingia kwa ndani...kuna kila aina ya jeanz.
Ngoja nitafute google
Tena huo msikiti kwa nje huwa wanapangaga viatu vya kike na mapochi.Shukrani mkuu
Thanks much againTena huo msikiti kwa nje huwa wanapangaga viatu vya kike na mapochi.
Ukifika pale kata kushoto au unaweza usikate ila angalia mbele yako utaona lango la kuingilia.
Ingia humo sasa.
Au ukifika hapo msikitini uliza nataka jeanz wanaponunuaga wazambia...utaoneshwa
Asante mkuuThanks much again
Nauliza chimbo la bidhaa za vyakula sabuni na mafuta ya kula ya jumla.Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Mkuu hiyo bei ya jumla bado ipo hivyoNauza mabegi ya lap top na shule kama PANASO,BIOAWANG,,, kuanzia elfu 16,000 jumla na reja reja 18,000 tupo k.koo mtaa wa kipata na swahili.
Noted.Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Hawa majamaa wanazongua biowang pc 10 kuna duka sh 9000 hawauzi chini ya hapo,ukienda maduka mengine wanayouza chini ya hapo Biowang 21000 kwa jumla
jamani chupi classic za bei nzuri zinapatikana wap.chupi za kike
Undefined nishapaelewa, si ukiwa unatokea Igoma, unakuja na Musoma Road mpaka pale junction ya Pamba Road, kisha unachepuka kulia njia ya kwenda salma cone, kabla hujafika kuna msikiti mrefu katikati ya maghorofa, ok got it, ubarikiweSijui nikuelekezeje. Ila ni pembeni ya ule msikiti wa pale katikati ya maghorofa wanakouza madera. Msikiti umepakwa rangi ya pink sijui maziwa ile. Kwa pembeni sasa kuna maduka kama unaingia kwa ndani...kuna kila aina ya jeanz. Ngoja nitafute Google
Nenda Kongo na Mchikichi mabegi yapo kama yote hivu unayotaka mkuu.wakuu hivi mabegi ya shule ya dukani kwa jumla naweza kupata kariakoo mitaa gan Hornet
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau, naomba kujua machimbo wanako uza vitenge original vya Congo na bei zake tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimya dada ulifanikisha kuna chimbo jipya hilo ndo hatari aseee, Dorcus kama zote beii chee tu teh na zenyewe zile na zile cardet quality bei nzuri sana.Ok nitaleta mrejesho
Ki
Kimya dada ulifanikisha kuna chimbo jipya hilo ndo hatari aseee,Dorcus kama zote beii chee tu teh na zenyewe zile na zile cardet quality bei nzuri sana.
Sawa boss Lini unaenda K/koo maana si rahisi kwa maelekezo hapa ukaelewa mkuu.Naliomba ilo chimbo