Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Shukrani mkuu
Tena huo msikiti kwa nje huwa wanapangaga viatu vya kike na mapochi.
Ukifika pale kata kushoto au unaweza usikate ila angalia mbele yako utaona lango la kuingilia.
Ingia humo sasa.
Au ukifika hapo msikitini uliza nataka jeanz wanaponunuaga wazambia...utaoneshwa
 
Thanks much again
 
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Nauliza chimbo la bidhaa za vyakula sabuni na mafuta ya kula ya jumla.
 
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Noted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui nikuelekezeje. Ila ni pembeni ya ule msikiti wa pale katikati ya maghorofa wanakouza madera. Msikiti umepakwa rangi ya pink sijui maziwa ile. Kwa pembeni sasa kuna maduka kama unaingia kwa ndani...kuna kila aina ya jeanz. Ngoja nitafute Google
Undefined nishapaelewa, si ukiwa unatokea Igoma, unakuja na Musoma Road mpaka pale junction ya Pamba Road, kisha unachepuka kulia njia ya kwenda salma cone, kabla hujafika kuna msikiti mrefu katikati ya maghorofa, ok got it, ubarikiwe
 
Back
Top Bottom