Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Msaada kwa anayefaham Chimbo la suruali za mtumba kali za jeans, pia Chimbo la suruali za vitambaa na mashati ya ofisin na Chimbo la Formsix kali. zote hizo ni mtumba.
Suruali za vitambaa za mtumba naonaga jamaaa wanachukuaga karume pale machinga complex kwa ground floor karibu na stand huwa wanafunguaga mabalo asubuhi sana saa 12 inatakiwa uwe umefika
 



Bei yake kwa jumla ni 23,000
Rejareja ni 25,000
 
Wakuu nauliza kwa hapa dar es salaam duka gani wanauza saa classic na quality za swiss au uk ambazo ni classic na qualitu km vile iwc, rado, na swiss watches,fp journe,patek philip
 

Attachments

  • Screenshot_20191012-095658_Instagram.jpg
    96.9 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…