Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Mbona hizi picha naambiwa siwezi zipata (accesess)
 
Kwa anayetaka kununua viatu (sandals, simples) na mikoba, vinainai(pochi), perfumes na magauni ya watoto kwa jumla na rejareja kutoka uturuki, na kwa anayetaka kuagiza pia 0686942315.

















 
Ukitokea mataa ya uhuru na msimbaz
Kama unaelekea club simba
Mtaa wa kwanza ingia kushoto
Unaitwa mtaa wa agrey
Hapo maduka ya jumla yapo mengi sana
Ni vzr ukazunguka kwanza kabla ya kuanza manunuz ingia mpaka vichochoro
Bei huwa zinatofautina
Be blessed
 
Nauliza zinapopatikana hizi kwa kariakoo.kwa bei ya jumla.
Naombeni msaada kwa anaepefahamu.[emoji120][emoji120]
 
Ulishapata
Sijapata dear.nimezungukaa namepata wanapouza rejareja na bei ni kubwa mno.
Huwezi hata ww kuuza..
Kama unafahamu naomba nielekeze mumy.na hata number ya muuzaji kamanda utaweza nipatie
 
Sijapata dear.nimezungukaa namepata wanapouza rejareja na bei ni kubwa mno.
Huwezi hata ww kuuza..
Kama unafahamu naomba nielekeze mumy.na hata number ya muuzaji kamanda utaweza nipatie
Blow dryer unahitaji ngapi!?
 
Karibuni bidhaa
Jumla itadepend na PC unazochukuana rejareja 7000
Karibu pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…