Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Nauliza zinapopatikana blow daryer za mkono.,pasi za nwele,na vikorokoro vyote vya hair care

.kwa kariakooo.
Habari mpendwa kama unahitaji Kwa bei ya jumla Kwa ajili ya biashara tafadhali niagize nipo India niagize chochote unachokitaka Kwa ushuru mdogo tu nakununulia unachokitaka Kwa bei ya sokoni
 
mkuu hizi flat cap zinapatika wapi na bei gani?
 
Wakuu naomba kuelekezwa kwa anaepajua Kitumbini, Mimi sipajui naomba msaada wenu
 
Hvi wadau hizi cardet hapo Kariakoo mahali gani wanauza bei nzuri kuliko wote???
 
mkuu jeans bei zimesimamaje now kariakooo za kiumee jumlaa
 
Habari wapendwa, kama kuna mtu atahitaji chochote kutoka India Kwa bei ya jumla tafadhali niagize heavy machine na vitu vidogo vidogo UREMBO nk mawasiliano yangu hayo +91 97179 98645.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…