Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Mimi nauza TV , mafriji , home theatre , majagi , majiko na electronics zingine. bei ya jumla na reja reja kwa ambaye anataka tafadhali anitafute. nipo Kariakoo.
 
Chimbo jingine la Pochi ni pale mtaa wa Msimbazi karibu na Kwa Makoba.
Kama unaenda Fire, baada ya Msimbazi Polisi, jengo linalofuata.

Pochi zao ni nzuri sana na bei pia.
 
Nauliza mifuko ya kuhifadhia nafaka ya nylon A.K.A sulfate inapatikana wapi na kwa bei gani jumla kwa anayejua?
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu.

Mimi ni Kijana wa kiume ninasoma Dar-es-salaam. Nimeona nifungue mwaka kwa kumpa mtaji dadayangu kufungua biashara ya vipodozi hapa hapa jijini Dar.

Naomba kuuliza juu ya mahali pa kuchukulia mzigo kama mawigi, rasta, na vipodozi vyote kwa bei ya jumla wote tupo dar.
Asanteni..
 
Zinapatikana kariakoo, ubaya sio mzuri wa kukariri majina ya mitaa
ulishazipata hizo bidhaa???
Kuna mtu hapo juu nilikuwa nahitaji anitumie akahaidi atatuma ila sasa mpaka leo kimya mpaka nimekataa tamaa mimi nashindwa kuja huko Dar kazi zinanibana.
 
Naombeni kujua wapi naweza pata mobile phone accessories kwa bei ya jumla yani, chargers, usb cables, head phones, chaji za simu za gari, memory cards, flash disks na computer accessories kwa bei nzuri na viwe durable
Nenda mtaa wa Agrey.
 
sawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Simu na vifaa vyake wapi napata
 
Kuna mtu hapo juu nilikuwa nahitaji anitumie akahaidi atatuma ila sasa mpaka leo kimya mpaka nimekataa tamaa mimi nashindwa kuja huko dar kazi zinanibana

Usikate tamaa, tutafutane, mimi nimemfungashia sana mama angu kwa ajili ya
kiduka chake huko mkoani.
 
Hodi humu ndani . Naomben anaye fanya biashara kutoka kariakoo kwenda kuuza zAmbia au nchi yoyote jirani aje tuelekezane dm
 
Back
Top Bottom