Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahn 20000 kwa jumla vinakua vitenge vingapMdau wa chimbo la vitenge dar nashukuru mno nilienda na nilipata bei nzuri 20,000/= jumla
Please mkuu naomba unitumie link au uniadd Whtxp number 0623182415Plz na mm naomba niadd boss
Nenda hatimi printers nimefanya nao kazi hawa wahindi, bidhaa zao nyingi wako cheapKadi za Harusi na sherehe mbalimbali dizaini tofauti tofauti wapi naweza pata Kwa bei iliyopoa
Niombee japo nafasi moja lol.Jamani eeh mwenye group kagoma anasema wanajf wengi hawaaaminiki kakataa katu katu so msije hata pm kutaka kuungwa .................. this chapter is closed poleni sana ila pia mnaweza kutafuta fursa kwingine
Nahitaji hizi bidhaa bei ya jumla
Kuna mtu hapo juu nilikuwa nahitaji anitumie akahaidi atatuma ila sasa mpaka leo kimya mpaka nimekataa tamaa mimi nashindwa kuja huko Dar kazi zinanibana.Zinapatikana kariakoo, ubaya sio mzuri wa kukariri majina ya mitaa
ulishazipata hizo bidhaa???
Nenda mtaa wa Agrey.Naombeni kujua wapi naweza pata mobile phone accessories kwa bei ya jumla yani, chargers, usb cables, head phones, chaji za simu za gari, memory cards, flash disks na computer accessories kwa bei nzuri na viwe durable
Simu na vifaa vyake wapi napatasawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Kuna mtu hapo juu nilikuwa nahitaji anitumie akahaidi atatuma ila sasa mpaka leo kimya mpaka nimekataa tamaa mimi nashindwa kuja huko dar kazi zinanibana
Nahitaji kufanya hiyo shughuli sijui nitaanzaje?That is very true,vitenge vinauzika mnooo Kenya,wateja wangu wakubwa wa vitenge ni wakenya. Yaani unaweza kuleta mzigo mkubwa na ukaisha in two days.
Mkuu naomba kujua unauzaje Vitenge ukipeleka Kenya na huwa unachukuaje Huku?Kweli nnafanya biashara hyo pia. .. sema nmeshindwa coz gharama za usafirishaji na border zipo juu
Unapatikana maeneo gani mkuuKariakoo ndio kila kitu kaka,karibu sana na ukishanunua mzigo nakusafirishia hadi Getini kwako.
Mashine za kunyolea pia unazo mkuu?mimi nauza TV , mafriji , home theatre , majagi , majiko na electronics zingine. bei ya jumla na reja reja kwa ambaye anataka tafadhali anitafute. nipo kariakoo