Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Huu uzi mzuri utanifaa badae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mungu akubariki sana na me mwaka huu nataka kuanza biashara hiyo unaweza ukanisaidia contact zako ili nikija Dar tuonane sisi watu wa mkoani hatujui machimbo uliyoyataja yalipo hivo msaada wako utakua ni wa muhimu sana kwangu plzzzHahhahah sasa wewe mie mkali wa hizi kazi tokea nipo chuo kitamboo nimeivuruga sana hiyo k.koo hahah hadi leo nipo yaani na sibanduki ng'ooo inabidi tuwasaidie wenzetu bana maana haya maisha mtu akikuongezea jero kwenye product ni kubwa sanaaaa. Na hivi vyuma vimekaza acha tu na wenyewe wale. Ila si unajua mjini wasioujua bado wengi utawapata tu maana hawapo humu JF .
Ngoja niwape chimbo la pochi za bei rahisi zile ronya na za kati 6000,8000,12000 lipo maeneo ya nyamwezi karibu na soko la shimoni kale kamtaa cha kati uje utokee msimbazi kota,karibu wanapouza maturubali, lingine lipo mtaa wa congo na aggrey kwa juu ghorofani kama unataka kutoka congo kituo cha basi pale wanauza high quality PU zao 22k,25k,28k,30 nk ambazo ukikuta kwenye botique ni mwendo wa 50k,70k hadi 100k. Pia tena hiyohiyo congo/mchikichi pale katikati kwa ghorofani wanauza pochi eh bei chee tatizo lenu mnapita juu juu tu ingieni maduka ya ndani na chini yana mambo mazuri Wallet nazo mchikichi zipo za kumwaga za kiume na za kike bei chee hakikisha unaingia ndani kabisa kwenye vichochoro. Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh,pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau? Danhappy
Hallow! Vipi kuhusu bei zao ,nilihitaji balo la viatu mtumbaKwa nguo za kiume na kike kuna chimbo za kariakoo..maduka ya chini kabisa..wanauza kwa jumla na viatu pia utapata..kuhusu viatu vya watoto sijui kwakweli
Natafuta chimbo la hardmaterial ya ujenzi kama koleo,sururu,majembe,slesha,shoka n.k nmeangaika week nzma apa karkoo kila ninapooingia nagongana na bei za mkoan kwetu jana nmefanikiwa kuingia goodone lakn nmeambulia maumivu tu wanataka nichukue mzgo kuanzia 5m, nmekimbia ! tafadhal mwenye uelewa wa hili swala ata kama n out na karkoo nitafata mali
Jaribu Kwenda Kamakanatafuta chimbo la hardmaterial ya ujenz kama koleo,sururu,majembe,slesha,shoka n.k nmeangaika week nzma apa karkoo kila ninapooingia nagongana na bei za mkoan kwetu jana nmefanikiwa kuingia goodone lakn nmeambulia maumivu tu wanataka nichukue mzgo kuanzia 5m ...nmekimbia ! tafadhal mwenye uelewa wa hili swala ata kama n out na karkoo nitafata mali
Ukpata naomba unijulishe Ndugu 0715464286Naomba kufahamu robota la Koti na suruali grade A kutoka Korea ni sh ngapi? Tuwasiliane 0754710823
Bei ya jumla sioIko hivo mkuu hizi earphone k/koo 2500 na ni jiwe vibaya mnoView attachment 741609
Hizo earphone kuna famba na original huwezi pata original kwa bei hiyo hata siku moja naku katalia kata kata.. Original na feki ukizi angalia kama co mzoefu na kazi hizo lazima upigwe tu..Bei ya jumla sio
Za kupoint wapi zinapatikana?Unataka za kupoint au ballo?
Za kupoint wapi zinapatikanaUnataka za kupoint au ballo?
MaDj's wengi wanaotafsiri wapo Arusha.CD/DVD wapi za kawaida na zilizotafsiriwa