Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

ngoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy............
Niadd na Mimi mkuu
 
Kwa chupi za kike na nguo za ndani kwa wanaume na wanawake na watoto, nenda mtaa wa shimoni, kuna duka moja linatazamana na msikiti wa jamatini, utafurahi.
Mkuu hivi boxer za wanaume zinauzwa shilingi ngapi kwa bei ya jumla
 
Habari za jumapili wana JF
Naomba kuelekezwa machimbo ya vitu bei rahisi kwa MF.mitumba nguo za ofisini, handbag za mtumba quality na ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla!? Kwa dar
 
Tafta hela uende china. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kdgo kdgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.

Vitu vingine in china the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
Picha linaanza huko China kuyajua hayo machimbo ndo shughuli au nako km kariakoo?
 
Picha linaanza huko China kuyajua hayo machimbo ndo shughuli au nako km kariakoo?
Machimbo ya china hupelekwi bure mkuu kuna wabongo kibao ndo hizo kazi zao na wanaishi kwa njia hiyo ila utakapozidi kuwa mzoefu naamini nawewe utayajua mfano jamaa anaitwa Cliff mitindo huyu ni winger wa china mcheck insta na ndo anaishi kwa kazi hiyo ila jaribu pia kutafuta wenye uzoefu na huko jenga nar ukaribu utapata mengi.
 
Back
Top Bottom