Ziro Buyu
Member
- Nov 1, 2016
- 39
- 39
Mabegi makubwa yale ya kusafiriaMtaa gani jamani wanauza mabegi kwa bei ya Jumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabegi makubwa yale ya kusafiriaMtaa gani jamani wanauza mabegi kwa bei ya Jumla
Kuna kakisiwa nimekasahau jina..ngoja nikuulizie wana nguo nzuri sana
Kumbuka leo wkd 🍺.ntakupa jib tmr...niliwah pelekwa chimbo kali sana...Mkuu nakusibilia unielekeze
Kumbuka leo wkd [emoji481].ntakupa jib tmr...niliwah pelekwa chimbo kali sana...
NitaulizaSawa mkuu na huwa wanakata belo siku gani Kwa wiki?
Nimefanikiwa kwa karibu 85%, na duka nishafungua, na biashara inaenda poa, ndani ya wiki moja tu nimeuza karibu 1m, na hapo faida si chini ya 250k, nasimama mwenyewe golini kwa sasa, ctaki kuajiri muuzaj maana bado pachanga, kwa nionavyo biashara imeanza kwa mwanzo mzuri, nilichukua mzigo wa 6m. Shukrani sana kwa Charity na wadau wengine walojitolea kutoa madini kiuhalisia bila kuweka chai.Hivyo vitu vyote unavyovitaka vinapatikana mtaa wa mchikichi na sikukuu kuna maduka ya wachina na wakinga, hapo mchikichi kuna duka maarufu la VICTAN la mchina ambapo asilimia kubwa ya wafanyabiashara wanaenda kuchukua chupi,vest na boxer quality za cotton kwa bei ya jumla mtaa wa Mhonda na msimbazi,yaani ukifika kituo cha mwendokasi Msimbazi B ingia kushoto kwako kuna maduka ya nje na ya ndani utakutana na chupi za kila aina ambazo pia mara nyingi wanaenda kuchukua kwa huyo Mchina wa Mchikichi, Wasomali na hao Wakinga.
Hongera sana mkuuNimefanikiwa kwa karibu 85%, na duka nishafungua, na biashara inaenda poa,ndani ya wiki moja tu nimeuza karibu 1m, na hapo faida si chini ya 250k, nasimama mwenyewe golini kwa sasa, ctaki kuajiri muuzaj maana bado pachanga, kwa nionavyo biashara imeanza kwa mwanzo mzuri, nilichukua mzigo wa 6m. Shukrani sana kwa Charity na wadau wengine walojitolea kutoa madini kiuhalisia bila kuweka chai.
Hongera sana mkuu
Fanya hivyo mkuu kuepuka usumbufu.Nashukuru sana, J3 najiandaa nikakate leseni ya biashara na kulipa mapato, maana nilianza kibishi bishi tu bila kufuata utaratibu, wasije wakanibananisha.
TandikaVitambaa vingi vipo msimbazi/narung'ombe kuna maduka mengi ya washihiri wanauza jumla! Ila kuna vitambaa ambavyo ukifika kule hauvikuti lkn maduka ya rejareja wanavyo! Cjui sasa wanavipatiaga wapi! Hata Mimi natafuta hayo machimbo coz nmefungua duka LA vitambaa! Pls ukiyapata hayo maduka nijulishe kipenzi
Mkuu unafanya biashara gani?Nashukuru sana, J3 najiandaa nikakate leseni ya biashara na kulipa mapato, maana nilianza kibishi bishi tu bila kufuata utaratibu, wasije wakanibananisha.
Fanya hivyo mkuu kuepuka usumbufu.
Inaonekana umeweka location nzuri sana?na vipi ni aina gani ya nguo unauza mkuu?
Mkuu unafanya biashara gani?
OK ngoja niende hapo juuMkuu nimeielezea kwenye post ya juu kabla ya hii,naomba icheki hio itakuelewesha fresh maana nimetoa maelezo marefu kias flan