Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Mwenye kufahamu chimbo la viatu hivi kwa jumla tafadhali naomba msaada
Screenshot_20201128-132133.jpg
 
Shukran..Ila naona iyo ni bei kubwa.. kwasababu kuna ujazo tofauti kuanzia mills 10,15,20,25,adi30 etc.. nilikuwa naitaji kwa bei ya jumla...kwa ujazo tofauti....
Ulipata?
 
Nahitaji mashati ya mtumba grade A bei ya chini kabisa pm au nichek 0673157150
 
Kuna mtu anauza hizo tsh 18000 kuanzia PC 5 ila mzigo unaingia dar tarehe 30 na kufunguliwa tarehe 5..
Mi nahitaji ctn au zaidi...kwa 18 bado ipo juu... Hakuna mchina Karikoo anae ingiza hivi kweli?
 
Kama upo mkoani na unahitaji mtu makini wa kusimamia mizigo yako utakayohitaji kununua hapa Dar es salaam,

Usihofu,

Nitakufanikishia shughuli yako kwa uaminifu mkubwa.

Napatikana Tabata Dsm.

Mawasiliano : 0744033555
 
Mimi nipo kariakooo tupeane madili,napenda nipate wateja wapya walioko mikoani tufanye kazi
My wasap namba 0765929586
Kupiga 0622177413
Bei Ni cheeeeeee
Wewe unauza bidhaa gani...

Mi nataka madira na vijora Bei ya jumla
 
Ndugu zangu habari.

Kwa mlio Dar, naomba mnielekeze chimbo naweza pata viatu yeboyebo kuanzia bei ya chini kabisa hadi viatu vya wadada kwa jumla.

Kama upo humu nitafute tufanye biashara.

(Itz serious)
Yeboyebo nenda maeneo ya mtaa wa msimbazi, ukiwa unaifata barabara ya mwendo Kasi kuelekea Moro road mkono wa kushoto.
 
Wakuu natafuta msambazaji wa sabuni za "Alfa" aliyepo Kariakoo.
 

Attachments

  • IMG_20201115_082943_8.jpg
    IMG_20201115_082943_8.jpg
    86.7 KB · Views: 22
Back
Top Bottom