Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Kariakoo.Naomben mnielekeze ni wap nitapata Perfume za kupima.. sample tofauti...kama creed,invictus,..etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kariakoo.Naomben mnielekeze ni wap nitapata Perfume za kupima.. sample tofauti...kama creed,invictus,..etc
Ulipata?Shukran..Ila naona iyo ni bei kubwa.. kwasababu kuna ujazo tofauti kuanzia mills 10,15,20,25,adi30 etc.. nilikuwa naitaji kwa bei ya jumla...kwa ujazo tofauti....
Kuna mtu anauza hizo Tsh 18000 kuanzia PC 5 ila mzigo unaingia Dar tarehe 30 na kufunguliwa tarehe 5..Mwenye kufahamu chimbo la viatu hivi kwa jumla tafadhali naomba msaadaView attachment 1636699
Nimefanikiwa kuongea na muuzaji.. kasema bei ya jumla kwa mills 10 elfu 7000...kwa PC 12Ulipata?
Kuna mtu nitakuchekia yupo Kkoo anauza mills 10 elfu 5.. nitakupa jibuNimefanikiwa kuongea Na muuzaji..kasema bei ya jumla kwa mills 10 elfu 7000...kwa PC 12
Nitashukuru.. sana....Kuna mtu nitakuchekia yupo kkoo anauza mills 10 elfu 5..nitakupa jibu
Mi nahitaji ctn au zaidi...kwa 18 bado ipo juu... Hakuna mchina Karikoo anae ingiza hivi kweli?Kuna mtu anauza hizo tsh 18000 kuanzia PC 5 ila mzigo unaingia dar tarehe 30 na kufunguliwa tarehe 5..
Kariakoo wachina hawakosekani ulizia ulizia utapataMi nahitaji ctn au zaidi...kwa 18 bado ipo juu... Hakuna mchina karikoo anae ingiza hivi kweli?
ShukraniNenda aggrey Ulizia Kwa Mnigeria Utapata Vyote.
Vipo bei tofaut tofauti dear tafadhar km hutojari niwhatsap nikutumie picha na bei uchague
Naomba namba yako ya whatsApp
Sent from my Nokia 7.2 using JamiiForums mobile app
Wewe unauza bidhaa gani...Mimi nipo kariakooo tupeane madili,napenda nipate wateja wapya walioko mikoani tufanye kazi
My wasap namba 0765929586
Kupiga 0622177413
Bei Ni cheeeeeee
Njoo Tandika mkuu....ukishindwa kufika ni pmNaomba kuelekezwa chimbo la vitambaa na vifaa vya ushonaji kwa bei ya jumla
Yeboyebo nenda maeneo ya mtaa wa msimbazi, ukiwa unaifata barabara ya mwendo Kasi kuelekea Moro road mkono wa kushoto.Ndugu zangu habari.
Kwa mlio Dar, naomba mnielekeze chimbo naweza pata viatu yeboyebo kuanzia bei ya chini kabisa hadi viatu vya wadada kwa jumla.
Kama upo humu nitafute tufanye biashara.
(Itz serious)
Upo serious mkuu kwa Bei hyo..?Bei ya jumla ni 12,000
Ukipata unitonye na mimiWewe unauza bidhaa gani...
Mi nataka madira na vijora Bei ya jumla